Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je,unaweza kuishi ukiwa uchi?

Watu wengi wasingejihisi vyema kuvua nguo zao zote na kusalia uchi wa mnyama katika maeneo ya uma,lakini kwa wengine ni maisha yao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wakutwa uchi wanalima

POLISI mkoani Simiyu inawashikilia watu wanne wa familia moja kwa tuhuma za kukutwa wakilima katika shamba la familia yao, huku wakiwa watupu kama walivyozaliwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Instagram yafuta picha za Uchi

Mmoja wa waasisi wa mtandao wa kijamii wa Instagram, ameambia BBC kuwa sheria zake kuhusu picha za uchi hazimbagui mtu yeyote.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandamana wakiwa uchi Uganda

Wanawake katika kijiji kimoja cha kazkazini mwa Uganda wamefanya maandamano wakiwa uchi kutokana na mgogoro wa ardhi kati ya utawala wa eneo hilo na jamii

 

10 years ago

BBCSwahili

Twitter kutochapisha picha za uchi

Kampuni ya Twitter imeweka Sheria mpya ya kupambana na watumiaji mtandao huo wanaoweka picha za uchi kulipiza kisasi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Auawa kwa kukutwa uchi mgodini

MKAZI wa Kijiji cha Kapanda, wilayani Mlele, Katavi, Yunge Maboja (70), amefariki dunia baada ya kushambuliwa na wananchi kwa kupigwa na silaha za jadi, ngumi na mateke baada ya kukutwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waliopiga picha za uchi mlimani washtakiwa

Watalii wanne ambao wamekiri kosa la kuonyesha matendo ya aibu hadharani, wamefikishwa katika mahakama moja nchini Malaysia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Playboy kutochapisha picha za uchi wa wanawake

Wamiliki wa jarida la Playboy wanapanga kuacha kuchapisha picha za wanawake wakiwa uchi katika jarida hilo wakisema 'zimepitwa na wakati'.

 

10 years ago

BBCSwahili

Amwacha mumewe na dadake uchi barabarani

Mwanamke kwa jina Ting Su nchini Uchina alimwacha mumewe na dadake bila nguo barabarani baada ya kuwapata wakifanya mapenzi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani