Taifa Stars ijiamini iweze kuishinda Algeria
Mbio za kusaka tiketi ya kuwakilisha Afrika kwenye Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Urusi kwa Tanzania zinaendelea leo kwa Taifa Stars kuikabili Algeria au Desert Warriors.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Taifa Stars yaitesa Algeria
ABDUCADO EMMANUEL NA THERESIA GASPER
WAKATI timu ya Taifa ya Tanzania ikitarajia kurudiana na Algeria ‘The Desert Foxes’ kwenye Uwanja wa Mustapha Tchaker jijini Blida leo saa 3:15 usiku, Taifa Stars imeonekana kuwatesa wapinzani hao kuelekea mchezo huo wa raundi ya pili kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.
Kiwango kikubwa walichokionyesha Stars kwenye mchezo wa kwanza uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2, bado kimezidi kuwavuruga Algeria ambao hadi sasa hawaamini kama...
9 years ago
MichuziSIMU TV: MECHI YA TAIFA STARS NA ALGERIA
9 years ago
Habarileo20 Oct
Taifa Stars kuiendea Algeria ng’ambo
TIMU ya soka ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’ inatarajiwa kuweka kambi ya siku 12 nje ya nchi kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya kufuzu Kombe la Dunia na ile ya Mataifa ya Afrika (AFCON). Stars itacheza na Algeria Novemba 17 katika mchezo wa awali wa kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Urusi mwaka 2018.
9 years ago
Bongo Movies18 Nov
Maneno ya JB Baada ya Taifa Stars Kufungwa na Algeria
Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ambaye ni moja kati ya mastaa wa bongo moivies wanaopenda soka, ametoa wito wa kutowabeza Taifa Stars baada ya kufungwa magori saba kwa sifuri na timu ya taifa ya Algeria.
“Hakuna maajabu kwenye mpira, kama unajua unajua tu. Tusiwalaumu, tutengeneze timu, tena tuanze na vilabu vyetu wenye pesa waachwe wawekeze. Hakuna short cut...” JB aliandika kwenye ukurasa wa instagram.
9 years ago
Bongo518 Nov
Mastaa wazungumzia Taifa Stars kufungwa 7-0 na Algeria
Baada ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kutupwa nje ya mbio za kuwania kufuzu kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi kwa aibu kubwa ya mabao 7-0 kutoka kwa Algeria, mastaa na wadau mbalimbali wa michezo wametoa maoni yao.
Kupitia kurasa za kijamii haya ni maoni yao:
Ridhiwani Kikwete
That Moment we realise that we wasted Five Open chances to Score on our first Leg , Is when we found
JB
Hakuna maajabu kwenye mpira..kama unajua unajua tu…tusiwalaumu..tutengeneze timu…tena tuanze na...
9 years ago
GPLFASTJET KUISAFIRISHA TAIFA STARS KWENDA ALGERIA
9 years ago
Habarileo13 Nov
Pambano Taifa Stars, Algeria kesho gumzo
PAMBANO la kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi mwaka 2018 kati ya timu ya soka ya Tanzania `Taifa Stars’ dhidi ya Algeria, linalotarajiwa kupigwa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, limekuwa gumzo miongoni mwa mashabiki wa soka ndani na nje ya nchi.
9 years ago
GPLSTARS YATOKA SARE YA BAO 2-2 NA ALGERIA LEO TAIFA
9 years ago
MichuziUCHAMBUZI WA MECHI YA TAIFA STARS NA ALGERIA WA HAJI MANARA
Ama hakika wengi waliokuwepo Uwanja wa Taifa jana waliondoka kwa huzuni sana. Waliondoka kwa huzuni sio sababu timu ya taifa ilifungwa. Laa hasha!! Hawakutegemea kupata matokeo ya sare kwenye mchezo wa kufuzu kucheza kombe la dunia dhidi ya miamba ya soka afrika Algeria.Tayari kwa kila mmoja mechi ilishaisha hasa baada ya kuongoza kwa goli mbili kwa bila.ila mpira ni mchezo wa makosa.mwisho wa mchezo ikawa huzuni kwetu baada ya waarabu wa kaskazin mwa afrika kusawazisha goli zote...