Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMAA, UTANDAWAZI UNAWAUMIZA MADENTI

HABARI za tokea wiki iliyopita. Ni matumaini yangu kwamba wanafunzi mnaendelea vizuri na masomo na wasomaji wengine wa safu hii Mwenyezi Mungu anawabariki ili mambo yetu yaende sawa sawa. Hili ni kama hitimisho la mada yetu, ile tuliyojadili kuhusu chanzo hasa cha watu wazima kujihusisha kimapenzi na watoto wa shule, hasa wa sekondari na vyuo. Kama ilivyotokea wiki iliyopita, idadi ya wadau waliowasiliana na mimi ilikuwa kubwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UGONJWA WA BANZA UNAWAUMIZA VICHWA MADAKTARI, HALI MBAYA

Gladness mallya INASIKITISHA sana! Wakati hali ya afya ya mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’ ikiwa ni mbaya nyumbani kwao Sinza jijini Dar es Salaam, madaktari wanapata tabu na kusumbuka kuhusu ugonjwa wa fangasi ya kichwa unaomsumbua. Soma zaidi ====>http://bit.ly/1Gxa46f

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wanawake utandawazi usiiharibu jamii’

WANAWAKE wametakiwa kutotumia utandawazi kuwa kigezo cha mmomonyoko wa maadili katika jamii. Haya yalisemwa jana na Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Dk. Letisia Warioba, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utandawazi ni msamiati kama ‘Sandauna’

INAWEZEKANA utandawazi ni msamiati usioeleweka  vizuri kama ule wa ‘Sandauna’. Nikiwa mtoto mdogo wazazi wangu walikuwa wakiaga nyakati za jioni kwenda kwenye ‘Sandauna’. Nilikuja kufahamu baadaye nikiwa sekondari kwamba ‘Sandauna’...

 

10 years ago

Mwananchi

Kanisa Katoliki Moshi lalaani utandawazi

Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi limesema tatizo la vijana wengi kujiingiza katika ulevi na uasherati ni kutokana na matumizi mabaya ya utandawazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kifimbo cha malkia na ujinga wa utandawazi

IPO dhana ya kwamba kutawaliwa kulichangia maendeleo ya Bara la Afrika, ikiwemo  nchi yetu ya Tanzania. Vilevile wapo wanaodhani kwamba mawazo ya kupenda kutawala, yaani sehemu moja kuinyang’anya sehemu nyingine...

 

10 years ago

Raia Mwema

Profesa Chachage na vita dhidi ya utandawazi

Jina la Kitabu: Uchambuzi wa Sera, Uongozi na Maslahi ya Watanzania.

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utandawazi umezima taa ya maadili kwa vijana

KUTOKANA na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, suala ya utandawazi limekuwa likilalamikiwa kuwa chanzo cha kufifisha maadili ya Tanzania. Watu wengi hususan vijana wamekuwa wakiishi kwenye giza la uovu. Vitu...

 

10 years ago

Michuzi

UTANDAWAZI GROUP KUNOGESHA TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO

NA ANDREW CHALE, BAGAMOYO
KUNDI maalufu la ngoma asili la Utandawazi Theater Group ‘Matwigachallo’ jioni ya kesho wanatarajiwa kuwasha moto wa aina yake kwenye tamasha la Kimataifa la 33 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, lililoanza Septemba 22 mwaka huu kwenye viunga vya chuo hicho.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa tamasha hilo, Abmic am Bafadhil ‘Bura’ alieleza kuwa, kundi hilo ambalo kwa sasa limejizolea umaalufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, linatarajiwa kutoa burudani ya ngoma za asili...

 

10 years ago

GPL

YES, WAKO MADENTI WANAJIUZA!

MAANKO, mnaendeleaje na masomo? Najua leo ni wikiendi nyingine baada ya kumaliza wiki nzima ya masomo. Wale wadogo wa msingi najua kaka na dada zao wameshafanya mitihani na wale wa sekondari ndiyo wako katika maandalizi ya mitihani ya mwisho wa mwaka. Mtakumbuka wiki iliyopita tulijadili juu ya tabia ya baadhi ya wanafunzi, hasa wa kiume ambao huleta vurugu zisizo na maana katika mabasi ya daladala, kama vile lugha chafu kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani