Utandawazi ni msamiati kama ‘Sandauna’
INAWEZEKANA utandawazi ni msamiati usioeleweka vizuri kama ule wa ‘Sandauna’. Nikiwa mtoto mdogo wazazi wangu walikuwa wakiaga nyakati za jioni kwenda kwenye ‘Sandauna’. Nilikuja kufahamu baadaye nikiwa sekondari kwamba ‘Sandauna’...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo31 Aug
Msamiati wa Uzanzibari wamkera Naibu Katibu Mkuu UVCCM
NAIBU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Zanzibar Shaka Hamdu Shaka amewatahadharisha wananchi kisiwani Pemba kutowasikiliza wanaoutumia msamiati wa uzanzibari kuwagawa.
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
‘Wanawake utandawazi usiiharibu jamii’
WANAWAKE wametakiwa kutotumia utandawazi kuwa kigezo cha mmomonyoko wa maadili katika jamii. Haya yalisemwa jana na Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Dk. Letisia Warioba, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa...
11 years ago
GPLTAMAA, UTANDAWAZI UNAWAUMIZA MADENTI
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Kanisa Katoliki Moshi lalaani utandawazi
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Profesa Chachage na vita dhidi ya utandawazi
Jina la Kitabu: Uchambuzi wa Sera, Uongozi na Maslahi ya Watanzania.
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Kifimbo cha malkia na ujinga wa utandawazi
IPO dhana ya kwamba kutawaliwa kulichangia maendeleo ya Bara la Afrika, ikiwemo nchi yetu ya Tanzania. Vilevile wapo wanaodhani kwamba mawazo ya kupenda kutawala, yaani sehemu moja kuinyang’anya sehemu nyingine...
10 years ago
MichuziUTANDAWAZI GROUP KUNOGESHA TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO
KUNDI maalufu la ngoma asili la Utandawazi Theater Group ‘Matwigachallo’ jioni ya kesho wanatarajiwa kuwasha moto wa aina yake kwenye tamasha la Kimataifa la 33 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, lililoanza Septemba 22 mwaka huu kwenye viunga vya chuo hicho.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa tamasha hilo, Abmic am Bafadhil ‘Bura’ alieleza kuwa, kundi hilo ambalo kwa sasa limejizolea umaalufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, linatarajiwa kutoa burudani ya ngoma za asili...
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Utandawazi umezima taa ya maadili kwa vijana
KUTOKANA na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, suala ya utandawazi limekuwa likilalamikiwa kuwa chanzo cha kufifisha maadili ya Tanzania. Watu wengi hususan vijana wamekuwa wakiishi kwenye giza la uovu. Vitu...
10 years ago
Bongo Movies10 Jul
Ray: Napata Wasiwasi Kama Tunaweza Kumpata Rais Kama Kikwete
Napata kigugumizi na mgagasuko mkubwa sana ndani ya kilindi cha moyo wangu, kama tutaweza kumpata Rais atakaye tuthamini kama wewe baba yetu, Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Wewe ni kiongozi wa mfano wa kuigwa na hao watakaokupokea kijiti chako, nimeilewa sana hotuba yako siku ya leo (jana) hasa pale uliposema Bongo Fleva na Bongo Movie wameitangaza sana nchi yako ya Tanzania kimataifa na kusahau hata yale machungu unayoyapataga kwenye soka tutakukumbuka sana rais wetu
Vicent Kigosi “Ray”...