Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UGONJWA WA BANZA UNAWAUMIZA VICHWA MADAKTARI, HALI MBAYA

Gladness mallya INASIKITISHA sana! Wakati hali ya afya ya mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’ ikiwa ni mbaya nyumbani kwao Sinza jijini Dar es Salaam, madaktari wanapata tabu na kusumbuka kuhusu ugonjwa wa fangasi ya kichwa unaomsumbua. Soma zaidi ====>http://bit.ly/1Gxa46f

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMA ANAWA MIKONO UGONJWA WA BANZA

Gladness Mallya
MAMA mzazi wa mwanamuziki nyota wa muziki wa dansi aliye mgonjwa, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ aitwaye Khadija, amenawa mikono kuhusiana na ugonjwa wa mwanaye, akisema akiwa mzima, alifanya kila aliloweza kumshawishi aache pombe, lakini hakufanikiwa, kwani anaamini maradhi yake pamoja na mambo mengine, yamesababishwa pia na kilevi. Mwanamuziki wa Bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja...

 

10 years ago

GPL

BANZA STONE: UGONJWA HUU UTANIUA!

Issa Mnally na Gladness Mallya/ Ijumaa Wikienda
Maskini! Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ yu mgonjwa tena, safari hii ameibuka na kueleza maradhi ambayo yanamsumbua akisema: ‘Ugonjwa huu utaniua.” Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’. Awali Ijumaa Wikienda lilipokea taarifa juu ya kuumwa kwa Banza ambapo...

 

10 years ago

GPL

DAKTARI AANIKA UGONJWA WA BANZA STONE

Gladness Mallya/ijumaawikienda
Inasikitisha sana! Huku akitundikiwa dripu nyumbani kwao, Sinza ya Vatican jijini Dar, daktari ameanika ugonjwa unaomtesa staa wa muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kuwa vipimo vinaonesha anashambuliwa na fangasi kichwani (ubongo) na shingoni. Staa wa muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’. YU HOI TENA
Habari zinaeleza kuwa tatizo...

 

11 years ago

Habarileo

Madaktari: Watoto wenye vichwa vikubwa wanatibika

WATOTO zaidi ya 4,500 wenye matatizo ya kichwa kikubwa, mgongo wazi na matatizo ya mifupa wanazaliwa kila mwaka na kati yao wanaoweza kupatiwa matibabu ya upasuaji ni 200 na wengine waliobaki hawapati huduma hizo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yakabiliwa uhaba wa madaktari wa vichwa vikubwa

TANZANIA inakabiliwa na upungufu wa wataalam wa upasuaji kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi ambapo kwa sasa ina madaktari watano ambao wanazunguka katika hospitali za rufaa nchini kutibu....

 

10 years ago

GPL

BASATA YAMJULIA HALI MSANII BANZA STONE

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI BASATA YAMJULIA HALI MSANII RAMADHAN MASANJA (BANZA STONE) Timu ya watendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ikiongozwa na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Bi. Vivian Nsao Shalua mapema jana imemtembelea Msanii na mwimbaji wa muziki wa Bendi ndugu Ramadhan Masanja ‘Banza Stone” ambaye kwa muda sasa amekuwa akiugua nyumbani kwao maeneo ya Sinza  Jijini Dar es Salaam. Lengo...

 

10 years ago

Michuzi

BASATA YAMJULIA HALI MSANII RAMADHAN MASANJA (BANZA STONE)

Timu ya watendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ikiongozwa na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Bi. Vivian Nsao Shalua mapema jana imemtembelea Msanii na mwimbaji wa muziki wa Bendi ndugu Ramadhan Masanja ‘Banza Stone” (pichani) ambaye kwa muda sasa amekuwa akiugua nyumbani kwao maeneo ya Sinza  Jijini Dar es Salaam.
Lengo la ziara hii ilikuwa kumjulia hali Msanii huyu mahiri wa Bendi na kushauriana na familia yake juu ya namna bora ya kusaidia matibabu yake na kuhakikisha anapata...

 

10 years ago

Mtanzania

Madaktari waeleza ugonjwa wa Mbowe

Pg 1NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kushindwa kuhitimisha maandamano ya kumsindikiza mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia chama chao kuchukua fomu ya kuwania urais baada ya kuugua ghafla, madaktari wameweka wazi kinachomsibu huku yeye akisema anaendelea vizuri.
Jana, daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. Tilizo Sanga, alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani