Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madaktari: Watoto wenye vichwa vikubwa wanatibika

WATOTO zaidi ya 4,500 wenye matatizo ya kichwa kikubwa, mgongo wazi na matatizo ya mifupa wanazaliwa kila mwaka na kati yao wanaoweza kupatiwa matibabu ya upasuaji ni 200 na wengine waliobaki hawapati huduma hizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Watoto wenye vichwa vikubwa kupungua

KUNA kila ishara sasa tatizo la watoto wadogo kupata ugonjwa wa kichwa kikubwa utapungua, baada ya Kituo cha Utafiti wa Madini cha Ngurdoto jijini Arusha, kubaini teknolojia rahisi inayozuia madini yanayosababisha ulemavu huo.

 

10 years ago

Habarileo

Wafugaji wapata watoto wenye vichwa vikubwa

JAMII za wafugaji zinadaiwa kukabiliwa na kiwango kikubwa na tatizo la kuzaa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi unaochangiwa wajawazito kukosa vitamini itokanayo na mboga za majani kutokana na kitoweo chao kikubwa kuwa nyama.

 

10 years ago

Mtanzania

Upasuaji watoto wenye vichwa vikubwa wasuasua

Mtoto mwenye kichwa kikubwa

Mtoto mwenye kichwa kikubwa

Hadia Khamis na Mwantum Saadi, Dar es Salaam

TAASISI ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI), imekumbwa na uhaba mkubwa wa vifaa vya upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na uti wa mgongo ulio wazi.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na MTANZANIA ofisini kwake Dar es Salaam jana, Meneja Ustawi wa taasisi hiyo, Almas Jumaa, alisema  kukosekana kwa vifaa hivyo kumesabisha wazazi wengi ambao watoto wao wana matatizo hayo, kushindwa kupata huduma kwa wakati...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yakabiliwa uhaba wa madaktari wa vichwa vikubwa

TANZANIA inakabiliwa na upungufu wa wataalam wa upasuaji kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi ambapo kwa sasa ina madaktari watano ambao wanazunguka katika hospitali za rufaa nchini kutibu....

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenye vichwa vikubwa wanyanyapaliwa

Unyanyapaa bado ni tatizo kubwa kwa kina mama wenye watoto wenye vichwa vikubwa nchini Tanzania

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wanaozaliwa na vichwa vikubwa waongezeka’

p>WATOTO zaidi ya 1,000 nchini huzaliwa na tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi kwa mwaka, kati yao watoto 250 ndiyo wanaofika kwenye Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa...

 

10 years ago

Habarileo

Tiba kwa wagonjwa vichwa vikubwa bado ngumu

WAGONJWA wa vichwa vikubwa na mgongo wazi wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la upatikanaji wa tiba kwa urahisi, kutokana na kuwapo madaktari bingwa watano huku jamii kushindwa kumudu gharama za matibabu na kufika hospitalini.

 

10 years ago

Dewji Blog

Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno chatoa huduma ya bure katika kituo cha watoto wenye Albinism

unnamed (4)

Raisi Mstaafu wa Chama cha  Madaktari wa Kinywa na Meno na Daktari Bingwa wa Watoto  Rachel Mhavile  toka Hospitali ya Taifa  Muhimbili, akifanya ukaguzi wa kinywa na Meno kwa Kuyela Masuka, aliyeanguka toka juu ya mti nakusababisha jino lake lambele juu kushotolikawa linaninginia na kunadaktari aliye jaribu kulirudishia lakini tiba hiyo ikamshinda kwa sababu hakua amepiga mswaki vuzuri na kumsababishia kupata maambukizi na kushindwa kufumba mdomo na kutokula chakula, matibabu aliyoyapata...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO

Prof. Bakari Lembaliti ambaye ni Mwalimu wa Chuo Kikuu Muhas Muhimbili akiwapatia miswaki na Dawa watoto wenye ulemavu wa macho baada ya kuwapa elimu ya matumizi ya usafi wa kinywa na meno inayo endelea kwa siku ya pili katika Shule ya Msingi Buhangija iliyopo ShinyangaProf. Bakari Lembaliti (kushoto) ambaye ni Mwalimu wa Chuo Kikuu Muhas Muhimbili akiongea na Mwanafunzi Khassan Shaban ( aliye vaa kofia kulia) anayesoma katika Sekondari ya Muhumbu Islamic ambaye amedhaminiwa na Shirika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani