Wenye vichwa vikubwa wanyanyapaliwa
Unyanyapaa bado ni tatizo kubwa kwa kina mama wenye watoto wenye vichwa vikubwa nchini Tanzania
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Jul
Watoto wenye vichwa vikubwa kupungua
KUNA kila ishara sasa tatizo la watoto wadogo kupata ugonjwa wa kichwa kikubwa utapungua, baada ya Kituo cha Utafiti wa Madini cha Ngurdoto jijini Arusha, kubaini teknolojia rahisi inayozuia madini yanayosababisha ulemavu huo.
10 years ago
Mtanzania05 Dec
Upasuaji watoto wenye vichwa vikubwa wasuasua
![Mtoto mwenye kichwa kikubwa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/big-headed1.jpg)
Mtoto mwenye kichwa kikubwa
Hadia Khamis na Mwantum Saadi, Dar es Salaam
TAASISI ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI), imekumbwa na uhaba mkubwa wa vifaa vya upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na uti wa mgongo ulio wazi.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na MTANZANIA ofisini kwake Dar es Salaam jana, Meneja Ustawi wa taasisi hiyo, Almas Jumaa, alisema kukosekana kwa vifaa hivyo kumesabisha wazazi wengi ambao watoto wao wana matatizo hayo, kushindwa kupata huduma kwa wakati...
10 years ago
Habarileo17 Oct
Wafugaji wapata watoto wenye vichwa vikubwa
JAMII za wafugaji zinadaiwa kukabiliwa na kiwango kikubwa na tatizo la kuzaa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi unaochangiwa wajawazito kukosa vitamini itokanayo na mboga za majani kutokana na kitoweo chao kikubwa kuwa nyama.
11 years ago
Habarileo07 Apr
Madaktari: Watoto wenye vichwa vikubwa wanatibika
WATOTO zaidi ya 4,500 wenye matatizo ya kichwa kikubwa, mgongo wazi na matatizo ya mifupa wanazaliwa kila mwaka na kati yao wanaoweza kupatiwa matibabu ya upasuaji ni 200 na wengine waliobaki hawapati huduma hizo.
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
‘Wanaozaliwa na vichwa vikubwa waongezeka’
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Tanzania yakabiliwa uhaba wa madaktari wa vichwa vikubwa
TANZANIA inakabiliwa na upungufu wa wataalam wa upasuaji kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi ambapo kwa sasa ina madaktari watano ambao wanazunguka katika hospitali za rufaa nchini kutibu....
10 years ago
Habarileo26 Oct
Tiba kwa wagonjwa vichwa vikubwa bado ngumu
WAGONJWA wa vichwa vikubwa na mgongo wazi wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la upatikanaji wa tiba kwa urahisi, kutokana na kuwapo madaktari bingwa watano huku jamii kushindwa kumudu gharama za matibabu na kufika hospitalini.
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
Mayatima wanyanyapaliwa Liberia
11 years ago
Mwananchi29 May
Miaka 52 baada ya uhuru; Viwanda vikubwa ni asilimia 0.4