Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto wenye vichwa vikubwa kupungua

KUNA kila ishara sasa tatizo la watoto wadogo kupata ugonjwa wa kichwa kikubwa utapungua, baada ya Kituo cha Utafiti wa Madini cha Ngurdoto jijini Arusha, kubaini teknolojia rahisi inayozuia madini yanayosababisha ulemavu huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wafugaji wapata watoto wenye vichwa vikubwa

JAMII za wafugaji zinadaiwa kukabiliwa na kiwango kikubwa na tatizo la kuzaa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi unaochangiwa wajawazito kukosa vitamini itokanayo na mboga za majani kutokana na kitoweo chao kikubwa kuwa nyama.

 

11 years ago

Habarileo

Madaktari: Watoto wenye vichwa vikubwa wanatibika

WATOTO zaidi ya 4,500 wenye matatizo ya kichwa kikubwa, mgongo wazi na matatizo ya mifupa wanazaliwa kila mwaka na kati yao wanaoweza kupatiwa matibabu ya upasuaji ni 200 na wengine waliobaki hawapati huduma hizo.

 

10 years ago

Mtanzania

Upasuaji watoto wenye vichwa vikubwa wasuasua

Mtoto mwenye kichwa kikubwa

Mtoto mwenye kichwa kikubwa

Hadia Khamis na Mwantum Saadi, Dar es Salaam

TAASISI ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI), imekumbwa na uhaba mkubwa wa vifaa vya upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na uti wa mgongo ulio wazi.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na MTANZANIA ofisini kwake Dar es Salaam jana, Meneja Ustawi wa taasisi hiyo, Almas Jumaa, alisema  kukosekana kwa vifaa hivyo kumesabisha wazazi wengi ambao watoto wao wana matatizo hayo, kushindwa kupata huduma kwa wakati...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenye vichwa vikubwa wanyanyapaliwa

Unyanyapaa bado ni tatizo kubwa kwa kina mama wenye watoto wenye vichwa vikubwa nchini Tanzania

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wanaozaliwa na vichwa vikubwa waongezeka’

p>WATOTO zaidi ya 1,000 nchini huzaliwa na tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi kwa mwaka, kati yao watoto 250 ndiyo wanaofika kwenye Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yakabiliwa uhaba wa madaktari wa vichwa vikubwa

TANZANIA inakabiliwa na upungufu wa wataalam wa upasuaji kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi ambapo kwa sasa ina madaktari watano ambao wanazunguka katika hospitali za rufaa nchini kutibu....

 

10 years ago

Habarileo

Tiba kwa wagonjwa vichwa vikubwa bado ngumu

WAGONJWA wa vichwa vikubwa na mgongo wazi wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la upatikanaji wa tiba kwa urahisi, kutokana na kuwapo madaktari bingwa watano huku jamii kushindwa kumudu gharama za matibabu na kufika hospitalini.

 

9 years ago

MillardAyo

Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio)

Kumekuwepo na fununu zikienea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu Wanawake wenye maumbile makubwa au Hips  wana nafasi kubwa ya kuzaa watoto wenye uwezo wa kiakili. Hapa nakukutanisha na Dr. Isaac Maro akiuelezea ukweli wa mambo. Bonyeza Play hapa chini kuipata hii yote. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]

The post Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio) appeared first on...

 

9 years ago

Michuzi

IDADI YA VIFO VYA WATOTO WACHANGA YAENDELEA KUPUNGUA MBEYA

Na Emanuel Madafa,Mbeya.
IDADI ya vifo vya watoto wachanga imeendelea kupungua Mkoani mbeya kutoka vifo 602 kwa mwaka 2012 hadi kufikia 568 kwa mwaka 2014  ambapo ni sawa na asilimia 5.7.

Hali hiyo inatokana timu ya uendeshaji wa huduma za afya mkoa kukaa pamoja na kutafuta ufumbuzi wa pamoja na kuweka maazimio ambayo wamekuwa wakiyatekeleza kwa pamoja.

Akizungumza jijini Mbeya mratibu wa huduma za afya ya uzazi na mtoto mkoani humo Ndugu Prisca  Butuyuyu  amesema kutokana na usimamizi huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani