Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mayatima wanyanyapaliwa Liberia

UN inakadiria watoto elfu tano nchini Liberia, Guinea na Sierra Leone, wananyanyapaliwa baada ya kupoteza wazazi wao kwa Ebola

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wenye vichwa vikubwa wanyanyapaliwa

Unyanyapaa bado ni tatizo kubwa kwa kina mama wenye watoto wenye vichwa vikubwa nchini Tanzania

 

11 years ago

BBCSwahili

Manchester United ni mayatima

Mmiliki wa Manchester United Malcom Glaze ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 85.

 

11 years ago

Michuzi

IPTL, Al-Madinah washerehekea sikukuu ya Eid na mayatima 500


Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL Bw. Aidan Kaune (mwenye suti ya kijivu) akijumuika pamoja na baadhi ya watoto 500 mayatima kusherehekea sikukuu ya Eid wakati wa karamu ya chakula iliyoandaliwa na taasisi ya Al-Madina na kufadhiliwa na IPTL. Kulia ni meneja maswala ya kampuni ya IPTL (Company Affairs Manager) Bw. Kulwinder Singh Jheeta na wa tatu kulia ni Mkurugenzi wa taasisi ya Al-Madinah Sheikh Ally Mubarak.  Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL...

 

10 years ago

Michuzi

JWTZ LATOA MSAADA KWA WAZEE NA MAYATIMA ZANZIBAR

MKUU wa Mkoa Mjini Magharib, Mhe. Abdalla Mwinyi Khamis akizungumza na Wazee wanaoishi katika nyumba za Wazee Sebleni mjini Zanzibar wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vyakula na vifaa vya usafi vilivyotolewa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika kutimiza miaka 50 ya jeshi hilo tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964.WAZEE wanaoishi katika nyumba za wazee Sebleni wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Mjini Magharib, Mhe. Abdalla Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza katika makabidhiano ya...

 

10 years ago

Michuzi

KALAMU EDUCATION FOUNDATION YALA SIKUKUU YA EID FITRI NA WAGONJWA NA MAYATIMA

Mmoja wa Wakurugezi wa Kalamu Education Foundation Sis. Kwezi akiongozana na wakurugenzi wenzake kugawa zawadi mbali mbali za Vyakula, Vinywaji, Nguo na Pesa vyenye thamani ya TZS 1,658,000 kwa wagonjwa katika ziara yao ya Kusheherekea Sikukuu ya EID EL-Fitri katika Hospital ya Mwananyamala, Dar es salaam Mwenyekiti wa Taasisi ya Kalamu Education Foundation, Ndugu Mohamed Kamilagwa akiongozana na Makamu wake Hajjat Asha Mtwangi wakimsikiliza kwa makini mmoja wa Madaktari juu ya Changamoto za...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mmishonari akiri makosa ya uhalifu wa kingono katika makao ya mayatima Kenya

Mmishonari Gregory Dow, 61, amekiri kunyanyasa wasichana wadogo wanne katika makao ya mayatima alioanzisha mwenyewe.

 

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA MUZDALIFAT NA TAASISI YA I,H,H YA UTURUKI WATOA SADAKA KWA WATOTO MAYATIMA ZANZIBAR.

 Wawakilishi wa Taasisi ya I,H,H,kutoka Uturuki wakigawa sadaka ya Unga,Mchele,Mafuta ya kupikia pamoja na Nyama kwa Watoto Yatima katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar.  Wachinjaji mbuzi kwa ajili ya Sadaka kwa Watoto mayatima wakichinjaji mbuzi huko Kisauni nje ya Mji wa Zanzibar.  Wawakilishi wa Taasisi ya I,H,H,kutoka Uturuki wakiendelea kugawa sadaka ya Vitu mbalimbali ikiwa pamoja na Unga wa Ngano,Mchele,Mafuta ya kupikia na Nyama kwa Watoto mayatima walio katika maeneo mbalimbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani