MAMA ANAWA MIKONO UGONJWA WA BANZA

Gladness Mallya MAMA mzazi wa mwanamuziki nyota wa muziki wa dansi aliye mgonjwa, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ aitwaye Khadija, amenawa mikono kuhusiana na ugonjwa wa mwanaye, akisema akiwa mzima, alifanya kila aliloweza kumshawishi aache pombe, lakini hakufanikiwa, kwani anaamini maradhi yake pamoja na mambo mengine, yamesababishwa pia na kilevi. Mwanamuziki wa Bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MSAMA ANAWA MIKONO KWA ROSE MUHANDO
BRIGHTON MASALU “HAWA mastaa hawa bwana! Wana matatizo sana, hivi inakuwaje mtu unamsaidia kwa mambo mengi, halafu badala ya kukushukuru anaamua kukulipa maneno makali? Yaani msaada wangu wote kwa Rose (Muhando), matokeo yake anatukana ukristo!†Ndivyo anavyoanza kueleza kwa sauti iliyojaa uchungu, meneja wa mwimbaji wa nyimbo za Injili, Rose Muhando, Alex Msama. ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1hpoH6b ...
10 years ago
GPL
BANZA STONE: UGONJWA HUU UTANIUA!
Issa Mnally na Gladness Mallya/ Ijumaa Wikienda
Maskini! Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ yu mgonjwa tena, safari hii ameibuka na kueleza maradhi ambayo yanamsumbua akisema: ‘Ugonjwa huu utaniua.†Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’. Awali Ijumaa Wikienda lilipokea taarifa juu ya kuumwa kwa Banza ambapo...
10 years ago
GPL
DAKTARI AANIKA UGONJWA WA BANZA STONE
Gladness Mallya/ijumaawikienda
Inasikitisha sana! Huku akitundikiwa dripu nyumbani kwao, Sinza ya Vatican jijini Dar, daktari ameanika ugonjwa unaomtesa staa wa muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kuwa vipimo vinaonesha anashambuliwa na fangasi kichwani (ubongo) na shingoni. Staa wa muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’. YU HOI TENA
Habari zinaeleza kuwa tatizo...
10 years ago
GPL
UGONJWA WA BANZA UNAWAUMIZA VICHWA MADAKTARI, HALI MBAYA
Gladness mallya INASIKITISHA sana! Wakati hali ya afya ya mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’ ikiwa ni mbaya nyumbani kwao Sinza jijini Dar es Salaam, madaktari wanapata tabu na kusumbuka kuhusu ugonjwa wa fangasi ya kichwa unaomsumbua. Soma zaidi ====>http://bit.ly/1Gxa46f
10 years ago
GPL
MAMA KIKWETE GUMZO KIFO CHA BANZA!
GLADNESS MALLYA SAFI! Mke wa Rais mama Salma Kikwete ameibuka na kuwa gumzo baada ya kifo cha mwanamuziki nyota, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kufuatia ahadi yake ya kumsomesha mtoto wa marehemu, Haji ambaye yupo kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Turiani, iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Ik5pZP ...
5 years ago
Michuzi
PICHA MBALIMBALI ZIKIMUONESHA WAZIRI SIMBACHAWENE AKINAWA MIKONO KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA

5 years ago
Michuzi
BENKI YA NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA KUNAWA MIKONO MKOA WA SINGIDA KUJIKINGA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA

5 years ago
MichuziKAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YACHANGIA MSAADA WA LITA 1,250 ZA VITAKASA MIKONO KUUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA CORONA,
====== ========== ======== ========
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imeunga mkono mapambano dhidi ya...
10 years ago
Vijimambo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania