Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASATA YAMJULIA HALI MSANII BANZA STONE

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI BASATA YAMJULIA HALI MSANII RAMADHAN MASANJA (BANZA STONE) Timu ya watendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ikiongozwa na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Bi. Vivian Nsao Shalua mapema jana imemtembelea Msanii na mwimbaji wa muziki wa Bendi ndugu Ramadhan Masanja ‘Banza Stone” ambaye kwa muda sasa amekuwa akiugua nyumbani kwao maeneo ya Sinza  Jijini Dar es Salaam. Lengo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BASATA YAMJULIA HALI MSANII RAMADHAN MASANJA (BANZA STONE)

Timu ya watendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ikiongozwa na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Bi. Vivian Nsao Shalua mapema jana imemtembelea Msanii na mwimbaji wa muziki wa Bendi ndugu Ramadhan Masanja ‘Banza Stone” (pichani) ambaye kwa muda sasa amekuwa akiugua nyumbani kwao maeneo ya Sinza  Jijini Dar es Salaam.
Lengo la ziara hii ilikuwa kumjulia hali Msanii huyu mahiri wa Bendi na kushauriana na familia yake juu ya namna bora ya kusaidia matibabu yake na kuhakikisha anapata...

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News…Msanii wa muziki wa dansi Banza Stone amefariki dunia!

IMG_8689

 

Chanzo kupitia akaunti ya twitter ya Power breakfast ya Clouds radio.

Taarifa zaidi hapo baadae kidogo, Modewjiblog inafanya mawasiliano na ndugu wa karibu wa marehemu Banza Stone.

 

10 years ago

GPL

BANZA STONE KUOA KIMYAKIMYA

Stori: Gladness Mallya
MWANAMUZIKI wa bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza stone’ amefunguka kwamba ndoa yake itafanyika kimyakimya na hakuna msanii atakayeshiriki. Mwanamuziki wa bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza stone’. Akipiga stori na gazeti hili, Banza alisema ndoa yake haitakuwa na michango, kwani atamuita sheikh na watoto wa madrasa kwa ajili ya kupiga dufu, huku mama yake...

 

10 years ago

Vijimambo

BANZA STONE AMEFARIKI DUNIA


Mwanamuziki wa muziki wa bendi Ramadhan Masanja maarufu kama ‘Banza stone’ amefariki dunia nyumbani kwao hivi punde baada ya kuugua kwa muda mrefu.R.I.P Banza Stone

 

11 years ago

GPL

LINI BANZA STONE UTATUHURUMIA?

Mwanamuziki Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’. RAMADHANI Masanja ‘Banza Stone’ ni mwanamuziki mkubwa wa muziki wa dansi la kileo. Dansi la kileo ninamaanisha hili linalopigwa na bendi zinazochombeza na sebene za Kikongo. Sina uhakika sana, lakini sidhani kama itakuwa sahihi kwa shabiki wa muziki huu, kumuondoa Le General katika Tatu Bora, kama ataamua kuwapanga mastaa wake kwa namba, kutokana na uwezo...

 

10 years ago

Bongo5

Banza Stone afariki dunia (Details)

Muimbaji wa muziki wa dansi aliyewahi kutamba akiwa na bendi mbalimbali zikiwemo Twanga Pepeta na TOT Band, Ramadhan Masanja maarufu kama Banza Stone amefariki dunia mchana wa Ijumaa, July 17. Banza alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Taarifa kuhusu kifo chake zimethibitishwa na kaka yake pamoja na mmiliki wa Twanga Pepeta, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani