Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bilal azindua majengo ya taasisi ya sheria

Makamu wa  Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal ameitaka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo, kutambua ina wajibu wa kufanya kazi kwa bidii, ubunifu, maarifa na weledi ili dhima ya ubora katika tasnia ya sheria kuweza kutimizwa kikamilifu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal azindua rasmi majengo ya taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania kwa ajili ya kuzindua Taasisi hiyo iliyopo Ubungo jijini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2014.(Picha na OMR).

02

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tatu kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi Majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Bilal kuzindua majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria Tanzania Jumatatu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa majengo ya kudumu ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (The Law School of Tanzania) itakayofanyika Jumatatu, tarehe 22 Disemba, 2014 jijini Dar es Salaam.
Hafla hiyo itafanyika kuanzia saa 3:00 asubuhi – saa 6:00 mchana katika eneo lililopo nyuma ya Jengo la Mawasiliano (Mawasiliano Towers), barabara ya Sam Nujoma, jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Bilal kuzindua majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria Tanzania kesho Jumatatu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa majengo ya kudumu ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (The Law School of Tanzania) itakayofanyika kesho Jumatatu, tarehe 22 Disemba, 2014 jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa toka Wizara ya Sheria na Katiba, hafla hiyo itafanyika kuanzia saa 3:00 asubuhi – saa 6:00 mchana katika eneo lililopo nyuma ya Jengo la Mawasiliano...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal kuzindua majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Jumatatu

DrMohamedGharibBilal1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal (pichani) anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa majengo ya kudumu ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (The Law School of Tanzania) itakayofanyika Jumatatu, tarehe 22 Disemba, 2014 jijini Dar es Salaam.

Hafla hiyo itafanyika kuanzia saa 3:00 asubuhi – saa 6:00 mchana katika eneo lililopo nyuma ya Jengo la Mawasiliano (Mawasiliano Towers), barabara ya Sam Nujoma, jijini...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MPANGO WA KAZI WA KIMATAIFA NA KANUNI ZA SHERIA YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizindua Mpangokazi wa Kimataifa na Kanuni za Sheria ya kuzuia usafirishaji haramu wa Binadamu, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo Agosti 21, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kulia) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kimataifa ya kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Kinemo Kihonamo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MPANGO WA KAZI WA KIMATAIFA NA KANUNI ZA SHERIA YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizindua Mpangokazi wa Kimataifa na Kanuni za Sheria ya kuzuia usafirishaji haramu wa Binadamu, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo Agosti 21, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kulia) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kimataifa ya kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Kinemo Kihonamo.  Makamu wa Rais wa Jamhuri...

 

10 years ago

Habarileo

Bilal awapa somo wabunifu wa majengo

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal.MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewataka wabunifu wa majengo wa nchi za Afrika ya Mashariki na Kati kubuni mbinu mbadala katika ujenzi wa majengo zenye kulinda mazingira na kupunguza gharama za umeme na maji.

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete azindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF Towers mtaa wa Sokoine Jijini Dar

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu alipowasili kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam jana Septemba 16, 2015  Mrisho Mpoto na Mjomba Band wakitumbuiza kwenye sherehe za majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam jana Septemba 16, 2015  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio na Mkurugenzi Mkuu wa...

 

9 years ago

Michuzi

JK azindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo


 Rais Kikwete akifunua pazia kuzindua rasmi majengo majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015 Rais Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi majengo pacha ya PSPF TOWERS.

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mfano wa kadi yake baada ya kujiunga mfuko wa pensheni wa PSPF kwenye sherehe hizo. Kulia ni Naibu waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Malima. Kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Mhe. George Yambesi na kushoto ni Mkurugenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani