Bill, Hillary Clinton wapata mjukuu
CHELSEA Clinton wa Rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton na mkewe Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Hillary Clinton, amejifungua mtoto wa kike.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili23 Oct
Bi Hillary Clinton awalaumu wapinzani
Anayedhaniwa kuwa mstari wa mbele katika uteuzi wa Urais katika chama cha Democratic, Hillary Clinton, amewalaumu wapinzani wake wa chama cha Republican kwa kutumia vifo vya wanadiplomasia nchini Libya kujinufaisha kisiasa.
9 years ago
CNN22 Oct
Is Tanzania having a Hillary Clinton moment?
CNN
CNN
Reporting for this story was made possible by the International Women's Media Foundation's African Great Lakes Reporting Initiative. (CNN) Rehema Mayuya has caused quite the scandal. It started when she convinced her 56-year-old husband, Thabit Yusuf ...
10 years ago
BBCSwahili12 Apr
Hillary Clinton kuwania urais Marekani
Rais wa Marekani Barack Obama amesema kuwa Hillary Clinton atakuwa rais bora na mwenye maono kwa nchi ya Marekani.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZFVQGyC-7KjbBrdE-6RhTkJEUH6HFxFbPEWhXcCl-QxfEdB2WKK5x3*tXVakwRTuXtamogaKI4nHrLHWgjuHsOLHTQvuSJAF/hillaryclintonisrunningforpresident.jpg?width=650)
BARUA PEPE ZA HILLARY CLINTON KUKAGULIWA
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton. New York, Marekani Maelfu ya kurasa za barua pepe (emails) binafsi za aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton zilizotumwa kwa anuani binafsi ya Waziri huyo, zimewekwa wazi hii leo na idara za Usalama nchini humo. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema kuwa, kati ya barua pepe hizo, 150 kati yake ni zile zinazodaiwa kuwa na taarifa...
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Hillary Clinton atangaza kugombea urais
Mke wa rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton, Bibi Clinton ametangaza azma ya kugombea urais nchini Marekani
9 years ago
Breitbart News23 Oct
Hillary Clinton Admits She Broke US Law in Benghazi
Breitbart News
Breitbart News
Hillary Clinton admitted to the House Select Committee on Benghazi on Wednesday evening that she broke the law in handling security for the U.S. consulate there. Under patient but persistent questioning from. Rep. Susan Brooks (R-IN). 33%. Liberty Score.
Rep. Brooks Pushes Right-Wing Media Falsehood That Clinton Should Have Signed ...Media Matters for America
all 3
9 years ago
Bongo512 Oct
Katy Pery kumfanyia kampeni Hillary Clinton
Hillary Clinton atapata shavu kutoka kwa mwanamuziki wa kike mwenye nguvu nchini Marekani, Katy Perry atakayeungana naye kwenye kampeni za urais. Perry – miongoni mwa wasanii wanaouza kazi zaidi duniani, mwenye followers wengi kuliko mtu yeyote, milioni 76.3, ataungana na Clinton huko Iowa, October 24. Clinton anawania kuja kuwa rais wa kwanza mwanamke nchini Marekani. […]
9 years ago
Daily Caller05 Oct
Hillary Clinton Intervened In Business Dispute After An Email From Ex ...
Daily Caller
Daily Caller
When a company that listed former U.S. Ambassador Joseph Wilson as a consulting director was stymied in its negotiations with General Electric over equipment it needed for a power plant project in Tanzania, the career diplomat knew just the person to ...
9 years ago
BBCSwahili20 Dec
Sanders aomba msamaha kumdukua Hillary Clinton
Bernie Sanders amekiri na kuomba msamaha kwa Bi Hillary Clinton kwa kudukua taarifa za upigaji kura zilizoandaliwa na kampeini yake
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania