Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BINTI ATIBUA ONYESHO LA SIKINDE

Stori: Richard Bukos, Morogoro
BINTI mmoja aliyeonekana kuzidisha kiburudisho, mwishoni mwa wiki iliyopita alitibua onyesho na kugeuka kuwa burudani baada ya kupanda juu ya jukwaa la Mlimani Park ‘Sikinde Ngoma ya Ukae’ na kuwakumbatia ovyo wanamuziki. Binti akivamia jukwaa baada ya kupiga urabu wa kutosha. Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita katika ukumbi wa Railway Club ambako paparazi wetu alimshuhudia binti...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mkosamali atibua Bunge

MBUNGE wa Mhambwe, Felix Mkosamali (NCCR-Mageuzi), amezua mjadala mkali bungeni kwa kuishambulia Serikali ya CCM akidai kuwa mawaziri wake wamekuwa wakitoa majibu mepesi yasiyo na mashiko. Mkosamali alitoa kauli hiyo...

 

10 years ago

GPL

Lowassa atibua mazoezi Simba SC

Aliyekuwa mgombea mtarajiwa wa urais nchini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa. Na Omary Mdose, Lushoto
BAADA ya aliyekuwa mgombea mtarajiwa wa urais nchini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa jina lake kukatwa kwenye nafasi hiyo, hali ilibadilika kwenye mazoezi ya Simba yaliyofanyika juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa Chuo cha Magamba, Lushoto, Tanga.… ...

 

11 years ago

GPL

WEMA SEPETU ATIBUA TENA

Stori: Hamida Hassan
BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ameendelea ‘kutibua’ hali ya hewa kwa kukiuka maadili ambapo kwa mara nyingine tena ametupia picha mtandaoni zikimuonesha akiwa amevaa mavazi yaliyoacha wazi baadhi ya sehemu nyeti za mwili wake. Wema Sepetu. Picha hiyo iliyopo kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii inamuonesha Wema akiwa amevaa kiblauzi chenye matundu kiasi cha kuifanya sidiria aliyovaa ionekane...

 

10 years ago

Mtanzania

Tibaijuka atibua hasira za wananchi

TibaijukaNA EVANS MAGEGE

KAULI iliyotolewa na aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, mbele ya Baraza la Maadili lililoketi kumhoji juu ya mgawo wa fedha za Escrow, kuwa alitumia Sh milioni 10 kwa ajili ya kununulia mboga, imeibua hasira kutoka kwa wananchi, wasomi na viongozi wa kada mbalimbali.
Wamesema kauli hiyo ni mwendelezo wa kejeli ambazo zimewahi kutolewa kwa nyakati tofauti na wanasiasa pamoja na baadhi ya viongozi nchini.
Kauli zinazolinganishwa na...

 

10 years ago

GPL

WOLPER ATIBUA UCHUMBA WA NAY

Mwigizaji wa filamu Bongo Jacqueline Wolper. Stori: Musa mateja
KIMENUKA! Mwigizaji Jacqueline Wolper ameibua tafrani la aina yake kwa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ baada ya kumtumia meseji iliyomtia shaka mpenzi wa staa huyo, Siwema. Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani kwa Nay wa Mitego, Kimara- Korogwe jijini Dar  ambapo ilisemekana Wolper alituma SMS iliyokuwa ikiuliza muafaka wa jambo...

 

11 years ago

GPL

JACK WOLPER ATIBUA UCHUMBA WA NAY!

Na MUSA MATEJA Mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefungukia madai ya kutoka na msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper na kudai kuwa wao ni washikaji tu ila ukaribu wao umesababisha mtifuano kati yake na mchumba wake, Siwema.
Mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’  Akizungumza na Ijumaa katika mahojiano maalum Nay alisema, watu wamekuwa wakieneza kuwa yeye na Wolper...

 

10 years ago

GPL

MJAMZITO ATIBUA ONESHO LA YAMOTO BAND

Richard Bukos na Issa Mnally Dada mmoja aliyedaiwa kuwa mjamzito usiku wa Ijumaa iliyopita alizua tafrani na kusababisha onesho la Yamoto Band kusimamishwa  baada ya kuvamia jukwaa na kufanya ndivyo sivyo huku kitumbo chake kikiwa kimejichomoza kiuchokozi kufuatia kuachwa wazi. Kisa hicho cha kushangaza kilitokea ndani ya Ukumbi wa White House uliopo Kimara jijini Dar ambapo Yamoto Band kwa kushirikiana na Bendi ya African...

 

9 years ago

BBCSwahili

Netanyahu atibua hisia kali Palestina

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekosolewa baada ya kudai kuwa kiongozi wa kidini mpalestina alimshawishi Hitler kutekeleza maauaji ya kimbari ya wayahudi.

 

10 years ago

Bongo Movies

Wolper Atibua Uchumba wa Nay wa Mitego!!!

UBUYU! Mwigizaji Jacqueline Wolper ameibua tafrani la aina yake kwa mbongo fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ baada ya kumtumia meseji iliyomtia shaka mpenzi wa staa huyo, Siwema.

Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani kwa Nay wa Mitego, Kimara- Korogwe jijini Dar  ambapo ilisemekana Wolper alituma SMS iliyokuwa ikiuliza muafaka wa jambo fulani ndipo Siwema akaja juu na kuanza kumcharukia bebi wake huyo.

Alipoulizwa Nay wa Mitego kuhusiana na ugomvi huo, alifunguka:
“Wolper ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani