Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tibaijuka atibua hasira za wananchi

TibaijukaNA EVANS MAGEGE

KAULI iliyotolewa na aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, mbele ya Baraza la Maadili lililoketi kumhoji juu ya mgawo wa fedha za Escrow, kuwa alitumia Sh milioni 10 kwa ajili ya kununulia mboga, imeibua hasira kutoka kwa wananchi, wasomi na viongozi wa kada mbalimbali.
Wamesema kauli hiyo ni mwendelezo wa kejeli ambazo zimewahi kutolewa kwa nyakati tofauti na wanasiasa pamoja na baadhi ya viongozi nchini.
Kauli zinazolinganishwa na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Watu 829 wauawa na wananchi wenye hasira

1111ASIFIWE GEORGE NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM

WATU 829 wameuawa katika kipindi cha Januari hadi Oktoba mwaka huu kutokana na wananchi kujichukulia sheria mkononi.

Akizungumza Dar es Salaam jana, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba, alisema matukio ya watu kujichukulia sheria mkononi yameongezeka, ikilinganishwa na mwaka jana katika kipindi kama hicho ambapo watu 785 waliuawa kwa matukio kama hayo.

Alisema takwimu zinaonyesha kuwa tabia hiyo inaendelea kujengeka na kuonekana kama ni...

 

10 years ago

GPL

POLISI AUAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA MOROGORO

...Askari alieuwawa na wananchi wenye hasira kali akiwa amelala chini ....mwananchi akishuhudia polisi alieuwawa na wananchi ASKARI mmoja wa jeshi la polisi ambao hutumia pikipiki kufanya doria, aliyejulikana kwa jina la Ramadhani,  ameuawa mchana huu na wananchi wenye hasira mjini Morogoro kwa kutuhumiwa kusababisha ajali ya dereva wa bodaboda ambaye alipamia lori. Tukio hilo linawahusisha askari wawili wa kikosi cha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi wenye hasira wateketeza kaya nne Chato

DSCN1671

Nyumba ya mfanyabiashara Shabani Ramadhani ikiteketea kwa moto.

Na  Alphonce Kabilondo  (TRJA)

WANANCHI  wenye  hasira  kali katika kijiji  cha Beda Kinsabe  kata   ya  Iparamasa  Wilayani  Chato    Mkoani  Geita wamebomoa  nyumba  za  kaya nne na kuzichoma  moto zikiwemo  za  viongozi  wa  serikali  ya   kijiji   hicho  na  kuteketeza  mali mbalmbali  zikiwemo  mashine za  kusaga   mawe  ya    dhahabu   baada  ya  walinzi wa  kampuni  ya  JOMA  SECURITY  LTD    tawi   la   Katoro    ...

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA POLEPOLE :Hasira hasara, kupiga kura kwa hasira ni ujuha na si hekima, tulitazame taifa

Bado nimepigwa na butwaa kwa namna ambavyo baadhi ya Watanzania wenzangu wanakosa ustahimilivu katika kipindi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu. Nimegundua kwamba unapotoa hoja ambayo wengine hawaiungi mkono basi kumekuwa na ugumu katika kustahimiliana.

 

10 years ago

Michuzi

MTU MMOJA AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI MKOANI DODOMA KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
 MTU mmoja anayedaiwa kuwa ni Jambazi ameuawa na wananchi baada ya kumpora mwananchi mmoja kiasi cha Sh. 2, 100,000= wa kijiji cha Igoji One Kata ya Mima katika Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP ameeleza kuwa tukio hilo la kumvamia mwananchi huyo huko nyumbani kwake Kijiji cha Igoji one aliyejulikana kwa jina la YARED S/O MAPATANO MSALILA limetokea mnamo...

 

10 years ago

Vijimambo

TIBAIJUKA: KWAKUWA RAIS AMETENGUA UTEUZI WANGU, SASA NIPO JIMBONI NATATUA KERO ZA WANANCHI

Wananchi mkoani kagera wamepinga uamuzi wa Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete kwa kumuondoa madarakani waziri wa ardhi nyumba na makazi na kuwaweka kiporo viongozi wengine walioshiri kuhujumu pesa za akaunti ya Tegeta Escrow.Wakiongea na ITV wananchi wa mkoa huo wamesema hawajajua nini hatima ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania Dk. kikwete kwa kuwaweka Kiporo mawaziri wengine waliohusika katika sakata hilo na kumuuondoa waziri Tibaijuka napia wamebaki...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkosamali atibua Bunge

MBUNGE wa Mhambwe, Felix Mkosamali (NCCR-Mageuzi), amezua mjadala mkali bungeni kwa kuishambulia Serikali ya CCM akidai kuwa mawaziri wake wamekuwa wakitoa majibu mepesi yasiyo na mashiko. Mkosamali alitoa kauli hiyo...

 

10 years ago

GPL

Lowassa atibua mazoezi Simba SC

Aliyekuwa mgombea mtarajiwa wa urais nchini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa. Na Omary Mdose, Lushoto
BAADA ya aliyekuwa mgombea mtarajiwa wa urais nchini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa jina lake kukatwa kwenye nafasi hiyo, hali ilibadilika kwenye mazoezi ya Simba yaliyofanyika juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa Chuo cha Magamba, Lushoto, Tanga.… ...

 

10 years ago

GPL

WOLPER ATIBUA UCHUMBA WA NAY

Mwigizaji wa filamu Bongo Jacqueline Wolper. Stori: Musa mateja
KIMENUKA! Mwigizaji Jacqueline Wolper ameibua tafrani la aina yake kwa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ baada ya kumtumia meseji iliyomtia shaka mpenzi wa staa huyo, Siwema. Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani kwa Nay wa Mitego, Kimara- Korogwe jijini Dar  ambapo ilisemekana Wolper alituma SMS iliyokuwa ikiuliza muafaka wa jambo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani