Binti wa Nkurumah kuizindua ACT
NA MARIAM MZIWANDA
MTOTO wa Rais wa Kwanza wa Ghana, Dk. Kwame Nkurumah, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha CPP, Samia Nkrumah, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa chama cha ACT-Tanzania.
Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika Machi 27-29, mwaka huu, jijini Dar es Salaam ambapo pia mkutano mkuu wa kwanza wa chama hicho utafanyika.
Samia, ambaye ameandika historia ya kuwa mwenyekiti wa kwanza mwanamke mwenye uwezo wa kuongoza chama kikubwa cha siasa nchini Ghana, atazungumza na...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
PHD kuizindua ‘The One’ Jan. 8
STAA wa filamu na muziki wa Bongo Flava, Hemed Suleiman ‘PHD’, anatarajiwa kufanya uzinduzi wa kazi yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘The One’, katika ukumbi wa Maisha Club jijini...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Kingzilla kuizindua ‘Zillax’ Januari
NYOTA wa muziki wa hip hop nchini, Golden Jacob ‘Godzilla’ au ‘Kingzilla’ anatarajiwa kuzindua albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Zillax’, Januari 5 mwakani ambapo ataunganisha na sherehe za...
11 years ago
Michuzi14 Jun
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Bongo523 Oct
Sauti Sol waibuka ‘Best African Act’ wa MTV EMA, sasa kuwania ‘Worldwide Act’
9 years ago
TheCitizen07 Oct
PCCB must act,not pledge it will act on corruption
10 years ago
Michuzi02 Oct
Taarifa Kwa Umma Kutoka Cham Cha ACT-TANZANIA Kuhusu Zitto Kabwe na Chama Cha ACT- Tanzania
![](https://1.bp.blogspot.com/-PQ3cCBhtNUE/VCwNv30XPoI/AAAAAAADEsg/fLSGWFewAGQ/s1600/01.aa4.jpg)
Katika gazeti la mwanahabari toleo na 117 la tarehe 29/09/2014 katika ukurasa wake wa mbele iliandikwa "MKAKATI WA KUKIPA NGUVU CHAMA CHA KIPYA CHA ZITTO KABWE WAVUJA".
Act-Tanzania tunaeleza kuwa ni chama cha watanzania wote kisichokuwa na mmilki wake na tunaunganishwa na misingi kumi ya chama pamoja na Itikadi yetu ya Demokrasia...
10 years ago
GPLMWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-TANZANIA AKIPINGA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO
10 years ago
MichuziMWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-TANZANIA AKIPINGA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO