PHD kuizindua ‘The One’ Jan. 8
STAA wa filamu na muziki wa Bongo Flava, Hemed Suleiman ‘PHD’, anatarajiwa kufanya uzinduzi wa kazi yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘The One’, katika ukumbi wa Maisha Club jijini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Kingzilla kuizindua ‘Zillax’ Januari
NYOTA wa muziki wa hip hop nchini, Golden Jacob ‘Godzilla’ au ‘Kingzilla’ anatarajiwa kuzindua albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Zillax’, Januari 5 mwakani ambapo ataunganisha na sherehe za...
10 years ago
Uhuru Newspaper17 Mar
Binti wa Nkurumah kuizindua ACT
NA MARIAM MZIWANDA
MTOTO wa Rais wa Kwanza wa Ghana, Dk. Kwame Nkurumah, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha CPP, Samia Nkrumah, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa chama cha ACT-Tanzania.
Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika Machi 27-29, mwaka huu, jijini Dar es Salaam ambapo pia mkutano mkuu wa kwanza wa chama hicho utafanyika.
Samia, ambaye ameandika historia ya kuwa mwenyekiti wa kwanza mwanamke mwenye uwezo wa kuongoza chama kikubwa cha siasa nchini Ghana, atazungumza na...
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Kozi ya urefa Mvomero Jan. 2
KOZI ya waamuzi wa soka wilayani Mvomero mkoani Morogoro, inatarajiwa kuanza Januari 2 mwakani na kushirikisha wadau mbalimbali wilayani humo. Akizungumza na Tanzania Daima hivi karibuni, Ofisa Habari wa kampuni...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Tuzo za mabondia sasa Jan. 25
ZILE tuzo za mabondia na waandishi wa habari waliofanya vema mwaka 2013 sasa zinatarajiwa kutolewa jijini Dar es Salaam, Januari 25. Awali tuzo hizo zilikuwa zitolewe Desemba 28 mwaka jana,...
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
AFCON kutimua vumbi Jan.17
9 years ago
TheCitizen01 Jan
We will not observe Jan 12 event-CUF
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Waamuzi wa soka kuchuana Jan. 1
WAAMUZI wa soka mkoa wa Dar es Salaam wameandaa mechi maalumu itakayochezwa Januari 1, katika Uwanja wa Karume ili kufanya tathmini ya kazi yao kuelekea 2014. Mratibu wa mechi hiyo,...
9 years ago
Bongo509 Nov
New Music: Jan B f/ Marley — My Life
![1941219_1517369731918312_532821997_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/1941219_1517369731918312_532821997_n-300x194.jpg)
Rapper Jan B amerejea tena na wimbo wake mpya ‘My Life’ aliomshirikisha Marley. Usikilize hapo chini.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo511 Mar
New Music: Jan B f/ Obi — Hustle Everyday