Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodi ya barabara yakunjua makucha

RFBNa Esther Mnyika, Dar es Salaam

BODI ya Mfuko wa Barabara (RFB) imesitisha kupeleka fedha katika halmashauri tatu nchini zilizobainika kuwa na matumizi mabaya ya fedha hizo.

Zuio hilo lilitangazwa jana jijini Dar es Salaam na Meneja wa RFB, Joseph Haule, mbele ya Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani, wakati akiwasilisha taarifa ya Bodi kuhusu mafanikio na changamoto wakati wa utekelezaji wa kazi.

Alizitaja halmashauri zinazohusika na hatua hiyo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

DSE yakunjua makucha

WAANDISHI wa habari wametakiwa kuikumbusha serikali izifanyie kazi sheria mbili za madini na mawasiliano zilizotungwa na Bunge mwaka 2010, ili kuyabana makampuni makubwa yaliyowekeza nchini ya migodi na simu yaorodheshwe...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yakunjua makucha Tanzania

Mahakama Kuu nchini Tanzania imeiadhibu halmashauri ya wilaya ya Urambo kwa uzembe wa daktari wa hospitali yake

 

11 years ago

Mwananchi

TRA yakunjua makucha kwa waliozigomea EFD

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Singida imewapandisha kizimbani wafanyabiashara wanne wa Mjini Singida kwa makosa mbalimbali, ikiwemo kutotumia kwa makusudi mashine za kielekroniki (EFD) kukusanyia kodi, huku wakijua wazi ni kosa kisheria.

 

10 years ago

Habarileo

Bodi ya Barabara yafanya mgawo wa tril. 3/-

BODI ya Mfuko wa Barabara imefanya mgawo wa Sh trilioni 2.9 za mfuko huo kwa miaka 10 iliyopita kwenda kwa wakala wa utekelezaji kwa ajili ya matengenezo ya barabara nchini.

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AFANYA ZIARA OFISI YA BODI YA MFUKO WA BARABARA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani ameitaka Bodi ya Mfuko wa Barabara kutotuma fedha za ujenzi wa barabara kwa halmashauri yoyote nchini ambayo imetumia fedha walizopelekewa kinyume na malengo yaliyokusudiwa. Na amemwagiza Meneja wa Bodi ya Mfuko wa Barabara kuzichukulia hatua halmashauri zote ambazo zimetumia fedha hizo tofauti na malengo yake ikiwa ni pamoja na kutopelekewa fedha mpaka hapo watakapozijeresha fedha walizozitumia. “Ongezeni nguvu zaidi katika...

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA BARABARA MKOA WA DODOMA YAZITAKA HALMASHAURI ZA WILAYA DODOMA KUCHAGUA WAKANDARASI WENYE UWEZO

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akifugua Mkutano wa bodi hiyo Feb. 17,2015 Mjini Dodoma.Wajumbe wa Bodi ya barabara ya Mkoa wa Dodoma wakimsikiliza mwenyekiti wa Bodi Mhe. Chiku Gallawa wakati akifungua Mkutano wa kwanza wa Bodi hiyo kwa mwaka 2015 mjini Dodoma Feb. 17.Meneja wa Wakala wa Barabara-TANROADS Mkoa wa Dodoma mhandisi Leonard Chimagu akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi ya barabara inayotekelezwa na TANROADS...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA BARABARA MKOA WA DODOMA YAZITAKA HALMASHAURI ZA WILAYA DODOMA KUCHAGUA WAKANDARASI WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI WANAPOTOA KANDARASI

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akifugua Mkutano wa bodi hiyo Feb. 17,2015 Mjini Dodoma.Wajumbe wa Bodi ya barabara ya Mkoa wa Dodoma wakimsikiliza mwenyekiti wa Bodi Mhe. Chiku Gallawa wakati akifungua Mkutano wa kwanza wa Bodi hiyo kwa mwaka 2015 mjini Dodoma Feb. 17.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

Habarileo

Kamani akunjua makucha yake

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus KamaniWAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, ameagiza Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (Narco), kunyang’anya ranchi ndogo za ufugaji zinazomilikiwa na wawekezaji wazawa walioshindwa kuziendeleza.

 

10 years ago

Mtanzania

CAG Profesa Assad aanza kukunjua makucha

Profesa Mussa Juma Assad

Profesa Mussa Juma Assad

NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Professa Mussa Juma Assad, ameanza kukunjua makucha kwa kuwaonya watu wanaochanganya siasa na biashara.

Profesa Assad alitoa kauli hiyo jana katika mkutano wa mwaka wa wahasibu na wakaguzi zaidi ya 3,000 unaoendelea kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) mjini hapa.

“Kuna kitu nakiita kuchanganya siasa na wafanyabiashara, nawaambia lazima utenganishe mwingiliano binafsi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani