Kamani akunjua makucha yake
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, ameagiza Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (Narco), kunyang’anya ranchi ndogo za ufugaji zinazomilikiwa na wawekezaji wazawa walioshindwa kuziendeleza.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziDkt. Kamani aendelea na ziara yake Mkoani Rukwa
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (Mb) (mwenye miwani), akiwa katika zoezi la kuteketeza nyavu haramu alipotembelea mwalo wa Kasanga katika Mkoa wa Rukwa.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (Mb) (mwenye miwani), akwasaidia wavuvi kukarabari mtumbwi wao tayari kwa kazi ya uvuvi alipotembelea mwalo wa Kasanga mkoani Rukwa.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (Mb) mwenye miwani, alipomtembelea mfugaji...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUnCP0J-AvgWDGws2XHPaRJs1W93U2yrkiJwjWDL-**tR5J9ezmd*Rkryfxq3kOTCQgOIUxvI3v-XfSaXs22BOI4/AJALI11.jpg?width=650)
WAZIRI DKT TITUS KAMANI ATEKETEZA ZANA HARAMU ZA UVUVI KATIKA ZIARA YAKE MKOANI RUKWA
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Balozi Seif akunjua kucha Zbar
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar, imesema ipo tayari kutumia vyombo vyake vya dola kukabiliana na tishio lolote au mipango ya njama zinazokusudia kuleta vurugu wakati huu wa uchaguzi mkuu.
Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Idd, ameyasema hayo jana katika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa kampeni za CCM zilizofanyika Kijiji cha Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja.
Alisema tayari kuna baadhi ya wanasiasa, wameanza kujiandaa kutumia makundi ya vijana ili kuleta fujo...
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
DSE yakunjua makucha
WAANDISHI wa habari wametakiwa kuikumbusha serikali izifanyie kazi sheria mbili za madini na mawasiliano zilizotungwa na Bunge mwaka 2010, ili kuyabana makampuni makubwa yaliyowekeza nchini ya migodi na simu yaorodheshwe...
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Bodi ya barabara yakunjua makucha
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
BODI ya Mfuko wa Barabara (RFB) imesitisha kupeleka fedha katika halmashauri tatu nchini zilizobainika kuwa na matumizi mabaya ya fedha hizo.
Zuio hilo lilitangazwa jana jijini Dar es Salaam na Meneja wa RFB, Joseph Haule, mbele ya Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani, wakati akiwasilisha taarifa ya Bodi kuhusu mafanikio na changamoto wakati wa utekelezaji wa kazi.
Alizitaja halmashauri zinazohusika na hatua hiyo...
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Mahakama yakunjua makucha Tanzania
10 years ago
Vijimambo09 Dec
WANAOFICHA ‘MAKUCHA’ KABLA YA NDOA NI HATARI ZAIDI!
Jumanne yetu ya leo tutakuwa na mada isemayo ‘wanaoficha ‘makucha’ kabla ya ndoa ni hatari zaidi’.
Nimelifungia neno ‘makucha’ kwa sababu kimazoea tunaita hivyo lakini kiuhalisia si makucha ni kucha. Zikiwa nyingi, ikiwa moja ni kucha!
Kuna wanaoficha makucha kabla ya ndoa ni msemo au hoja ambayo ipo miongoni mwa jamii yetu! Wengi hudai wapo wanawake au wanaume wenye tabia hii! Kwamba, kabla hajaolea au hajaoa...
10 years ago
Mtanzania05 Dec
CAG Profesa Assad aanza kukunjua makucha
![Profesa Mussa Juma Assad](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/mussa-assad1.jpg)
Profesa Mussa Juma Assad
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Professa Mussa Juma Assad, ameanza kukunjua makucha kwa kuwaonya watu wanaochanganya siasa na biashara.
Profesa Assad alitoa kauli hiyo jana katika mkutano wa mwaka wa wahasibu na wakaguzi zaidi ya 3,000 unaoendelea kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) mjini hapa.
“Kuna kitu nakiita kuchanganya siasa na wafanyabiashara, nawaambia lazima utenganishe mwingiliano binafsi...