Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodi ya TRAB yaiamuru TRA irejeshe pesa za Swissport

 Bodi ya Rufaa za Kodi (TRAB), imeiamuru Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), irejeshe Sh296 milioni kwa Kampuni ya Swissport Tanzania Limited.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mabilioni ya kodi Bodi ya TRAB yakwamishwa

Mabilioni ya pesa za kodi ya Serikali yamekwama katika Bodi ya Rufani za Kodi(TRAB) kutokana na rufani zilizofunguliwa katika bodi hiyo kukwama kusikilizwa na kutolewa uamuzi na bodi hiyo ikiililia Serikali kwa kutokuiwezesha kutekeleza majukumu yake.

 

11 years ago

TheCitizen

TRA told to refund Swissport Sh232m

Tanzania Revenue Authority (TRA) has been ordered to refund Swissport Sh232 million it unlawfully collected from the company.

 

5 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BODI YA TRA WAIPONGEZA ITA

CHUO cha Kodi (ITA) kimeshauriwa kupanua wigo wa kutoa mafunzo ya utawala na uongozi katika taasisi na mashirika pamoja na wadau wengine ili wananchi wengi waipate elimu hiyo ambayo ni muhimu kwa viongozi.

Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dr. Suleiman Missango wakati akifunga mafunzo ya uongozi na utawala kwa wajumbe na wakuu wa idara za TRA ambayo yaliyotolewa na Chuo cha Kodi na kufanyika jijini Dododma kwa siku tatu.
“Tumekuwa...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA Ujumbe wa Bodi ya TRA, IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya TRA Benard S.Mchonvu wakati alipoongoza ujumbe wa Bodi hiyo leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na ujumbe wa Bodi TRA ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo asubuhi ukiongoza na Mwenyekiti wake Benard S.Mchonvu (wa tatu kushoto). Rais wa Zanzibar na...

 

10 years ago

BBCSwahili

300K washinikiza BBC irejeshe Top Gear

Zaidi ya mashabiki laki tatu wa kipindi cha Top Gear wametia sahihi kampeini ya kuishinikiza BBC kumrejesha Jeremy Clarkson hewani

 

11 years ago

Mwananchi

USAFIRI: Sumatra yaiamuru Uda kushusha nauli

>Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imetoa amri kwa Shirika la Usafiri Dar es Salaam kutoza viwango sawa vya nauli  kama vinavyotozwa na daladala za kawaida.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mahakama yaiamuru SCBHK, TANESCO kutokuwabugudhi wamiliki wa IPTL

Makandege 2

Katibu na Mwanasheria mkuu wa kampuni ya ufuaji umeme ya IPTL, Bw. Joseph Makandege akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) nakala ya hukumu iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania ikizuia benki ya Standard Chartered ya Hong Kong na Tanesco kuendelea kuwabugudhi wamiliki wa IPTL na kuingilia uendeshaji wa mitambo yake. Kushoto ni Meneja Rasilimali watu wa IPTL Bw. Aidan Kaude. 

-Yasema Bw. Sethi kuendelea kusimamia mitambo ya ufuaji umeme ya Tegeta

Na Mwandishi Wetu

Mahakama Kuu...

 

5 years ago

Michuzi

Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda

Tigo Tanzania, kampuni inayoongoza kwa ubunifu wa Kidigitali nchini, leo imezindua huduma inayowawezesha watumiaji wote wa Tigo Pesa nchini Tanzania kuweza kutuma na kupokea pesa kupitia simu zao za mkononi kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN za nchini Rwanda.
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI

 Mwenyekiti wa kikosi kazi kutoka chama cha wasambazaji wa filamu Tanzania,Bw Moses Mwanyilu akionyesha baadhi ya filamu ambazo zinauzwa nchini bila kupata kibali kutoka bodi ya filamu Tanzania na kutokuwa na stika za ushuru za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakielezea changamoto zao kuhusiana na filamu za kitanzania kulazimishwa kukaguliwa na bodi ya filamu na kuwekwa stika za TRA ilhali filamu za nje hazifanyiwi hivyo na kupelekea filamu za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani