BOHARI YA DAWA (MSD) YAELEZEA MIPANGO YAKE YA KAZI
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja na Shughuli za Kanda wa Bohari ya Dawa (MSD), Edward Terry (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ukumbi wa Idara Habari Maelezo jijini Dar es Salaam mipango ya MSD na mambo mengine. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa MSD, Etty Kusiluka. Etty Kusiluka akitoa ufafanuzi wa masuala kadhaa. Mkutano na wanahabari ukiendelea.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBOHARI YA DAWA (MSD) YAELEZEA MIPANGO YAKE YA KAZI
Dotto Mwaibale
WASIMAMIZI wa vituo vya afya, zahanati, hospitali za wilaya, mkoa na hospitali za rufaaa wametakiwa...
10 years ago
GPLMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SAID MECKY SADICK AIPONGEZA BOHARI YA DAWA (MSD) KWA KUTOA HUDUMA BORA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-T56Ho0rXFCo/UwYiy9pDnLI/AAAAAAAFOXQ/-1v0oRADaOc/s72-c/DSC_9936.jpg)
MSD yatoa utaratibu wa manunuzi ya dawa ndani ya bohari ya dawa
![](http://2.bp.blogspot.com/-T56Ho0rXFCo/UwYiy9pDnLI/AAAAAAAFOXQ/-1v0oRADaOc/s1600/DSC_9936.jpg)
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA BOHARI YA DAWA MSD
9 years ago
MichuziBOHARI YA DAWA (MSD) YASHIRIKI KONGAMANO LA 29 LA WANASAYANSI WATAFITI MAGONJWA YA BINADAMU
9 years ago
Dewji Blog17 Oct
BOHARI YA DAWA (MSD): Yashiriki kongamano la 29 la Wanasayansi watafiti magonjwa ya binadamu
Dawa na vifaa mbalimbali...
10 years ago
Dewji Blog07 Jul
JK amteua Laurean Bwanakunu kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Laurean Rugambwa Bwanakunu (pichani) kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).
Taarifa iliyotolewa Dar es salaam leo, Jumatatu, Julai 6, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Ndugu Bwanakunu unaanzia Juni 23, mwaka huu, 2015.
Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Bwanakunu alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ariel Glaser Paediatric AIDS Healthcare Initiative.
Imetolewa...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-ofYiqu1aRNs/Xq7vqN20XWI/AAAAAAAC4cc/4a5z3gVQdxwMkjJMhz6AfRisEKyjE__2ACLcBGAsYHQ/s72-c/2.jpg)
RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MPYA WA MKURUGENZI MKUU WA BOHARI YA DAWA (MSD)
![](https://1.bp.blogspot.com/-ofYiqu1aRNs/Xq7vqN20XWI/AAAAAAAC4cc/4a5z3gVQdxwMkjJMhz6AfRisEKyjE__2ACLcBGAsYHQ/s400/2.jpg)
Uteuzi wa Brig. Jen Dkt. Mhidize unaanza mara moja, leo tarehe 03 Mei, 2020.
Kabla ya uteuzi huo, Brig. Jen Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Lugalo Jijini Dar es Salaam.
Brig. Jen Dkt. Mhidize anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-8maKDe5WiEk/VZrO_pE7QVI/AAAAAAAHnVw/Dy0HE7jA20Y/s72-c/download%2B%25282%2529.jpg)
Laurean Rugambwa Bwanakunu ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD)
![](http://3.bp.blogspot.com/-8maKDe5WiEk/VZrO_pE7QVI/AAAAAAAHnVw/Dy0HE7jA20Y/s320/download%2B%25282%2529.jpg)
Taarifa iliyotolewa Dar es salaam leo, Jumatatu, Julai 6, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Ndugu Bwanakunu unaanzia Juni 23, mwaka huu, 2015.
Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Bwanakunu alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ariel Glaser Paediatric AIDS Healthcare Initiative.
Imetolewa...