Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Boko Haram tishio kwa Wanajeshi Nigeria?

Wanajeshi 54 wahukumiwa kifo nchini Nigeria kwa kukataa kupambana na Wanamgambo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WANAJESHI 54 WA NIGERIA WAHUKUMIWA VIFO KWA KUSHINDWA KUPAMBANA NA BOKO HARAM

Wanajeshi hao wakiwa mbele ya Mahakama ya Kijeshi jijini Abuja nchini Nigeria. Mahakama ya Kijeshi nchini Nigeria imewahukumu adhabu ya vifo wanajeshi wake 54 waliokataa kupambana na wapiganaji wa Kundi la Boko Haram. Wanajeshi hao walikutwa na hatia ya uasi, kushambulia na uoga. Wanajeshi hao wanashutumiwa kukataa kupigana kurudisha miji mitatu iliyokuwa ikishikiliwa na Boko Haram mwezi Agosti. Mwanasheria wa wanajeshi hao...

 

11 years ago

BBCSwahili

Boko Haram:Wake wa Wanajeshi waandamana

Wake wa wanajeshi waandamana katika mji wa Maiduguri kupinga waume wao kutumwa Gwoza kukabili Boko haram.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Chad, Boko Haram,wapambana

Wanajeshi wa Chad wapambana na Boko Haram Kaskazini Mashariki mwa Nigeria

 

9 years ago

BBCSwahili

Jeshi lakomboa 300 kutoka kwa Boko Haram Nigeria

Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limefanikiwa kuwakomboa watu 338 kutoka kwa wapiganaji wa Kiislamu wa Boko Haram.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wakabiliana na B.Haram Nigeria

Wanajeshi nchini Nigeria wamekuwa wakipigana na wanamgambo wa Boko Haramu kwenye mji ulio kaskazini mashariki

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi 11 wauawa na Boko:H Nigeria

Taarifa kutoka mjini Buni Yadi katika jimbo la Yobe, Nigeria, zinasema kuwa watu 24 wakiwemo wanajeshi 11 wameuawa na Boko Haram

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria yapuuza Boko Haram

Rais wa Nigeria amepuuza matakwa ya kundi la kiislam la Boko Haram lililotaka kubadilishana wafungwa kwa mateka

 

10 years ago

BBC

Nigeria's Boko Haram 'has new leader'

The Nigerian-based Islamist militant group Boko Haram has a new leader who is open to dialogue, says Chad's President Idriss Deby.

 

10 years ago

BBC

Nigeria 'in talks with Boko Haram'

Nigeria says it is still holding talking with Boko Haram, two weeks after the government said it had agreed a truce with the Islamist militant group.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani