Bom Bom, Idios zatoshana nguvu
TIMU za Bom Bom na Idios zilitoshana nguvu katika michuano ya vijana ya U-17 ya Airtel Rising Stars kwa mkoa wa kisoka wa Ilala uliochezwa kwenye uwanja wa Karume jana, baada ya kutoka sare ya bao 1-1.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Simba, Yanga zatoshana nguvu
10 years ago
BBCSwahili22 Sep
Chelsea,Man City zatoshana nguvu
11 years ago
MichuziSIMBA NA YANGA ZATOSHANA NGUVU UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO
9 years ago
Raia Mwema11 Nov
Tuone kweli kama ni nguvu ya soda au nguvu ya jua
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-y6WGsuj73tU/VjJtlAn0yWI/AAAAAAAA31k/X7j7SqYXKz0/s72-c/TB-Joshua.jpg)
Haujatimia...Je Nguvu za Binadamu zinaweza Kuzuia Nguvu za Mungu...
![](http://1.bp.blogspot.com/-y6WGsuj73tU/VjJtlAn0yWI/AAAAAAAA31k/X7j7SqYXKz0/s640/TB-Joshua.jpg)
Naleta kwenu msaswali machache ili mpate kunisaidia. Katika tabiri nyingi zilizopata kutabiriwa ndani ya vitabu vitakatifu kama BIBLIA na vinginevyo zimekuwa zikitimia pasipi shaka.Siku za nyuma kidogo huyu nabii anaye itwa TB Joshua Kutoka Nigeria alimtabiria mheshikiwa Edward kuwa ndiye raisi ajaye sasa kila mtu anajua kilicho tokea ni kitugani muda mfupi ulio pita.
SASA NAULIZA HIVI, JE BINADAMU ANAYO MAMLAKA AU NGUVU YOYOTE KATIKA KUBATILISHA KILE KINACHO TAJWA KUWA NI UTABIRI AMBAO...
9 years ago
Raia Mwema02 Sep
Kama chama changu kinataka kushinda, kishinde kwa nguvu ya hoja si kwa nguvu ya dola
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Bunge la Katiba lijadili nguvu ya hoja si hoja za nguvu
BUNGE la kujadili katiba mpya limepangwa kuanza rasmi Februari 18 mwaka huu, pale Makao Makuu ya Tanzania, mjini Dodoma. Mijadala itaendeshwa kwa siku 70. Ikibidi zitaongezwa tena siku nyingine 20...