Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba, Yanga zatoshana nguvu

Timu za soka za Simba na Yanga zimelazimika kugawana pointi katika mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya kwenda sare ya bao 1-1.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SIMBA NA YANGA ZATOSHANA NGUVU UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

Mshambuliaji wa timu ya Yanga , Hamis Kiiza (kulia) akiwania mpira na beki wa timu ya Simba, Nassor Masoud, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1 Simba. Mshamuliaji wa pembeni wa timu ya Yanga,Simon Msumva (kulia) akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Simba, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea,Man City zatoshana nguvu

Timu ya Chelsea na Manchester City zatoka sare ya 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya England

 

10 years ago

Habarileo

Bom Bom, Idios zatoshana nguvu

TIMU za Bom Bom na Idios zilitoshana nguvu katika michuano ya vijana ya U-17 ya Airtel Rising Stars kwa mkoa wa kisoka wa Ilala uliochezwa kwenye uwanja wa Karume jana, baada ya kutoka sare ya bao 1-1.

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

AZAM FC, SIMBA SC NGUVU SAWA TAIFA

TIMU ya Simba SC na Azam FC zimeshindwa kutambiana leo katika mechi ya Ligi Kuu Bara baada ya kutoka sare ya bao 1-1. Katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar, bao la Simba limefungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 19 wakati la kusawazisha la Azam likifungwa na Kipre Tchetche dakika ya 57. Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi alitolewa uwanjani kwenye machela baada ya kujeruhiwa na kukimbizwa hospitali. ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba Nguvu Moja wapata msiba

KUNDI la hamasa na ushangiliaji la Klabu ya Simba tawi la Nguvu Moja la jijini Dar es Salaam, wamefiwa na shabiki Mawazo Ramadhani ‘Kidedea’ aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Julai...

 

10 years ago

Vijimambo

AUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0

 Timu ya Yanga imeendeleza uteja tena leo katika mchezo wa wahasimu hao uliochezwa uwanja wa taifa leo baada ya timu ya Simba kuibamiza Yanga goli 1 bila majibu goli lililofungwa na Emmanuel Okwi mchezaji aliyeikimbia timu hiyo yenye masikani yake Jangwani katika dakika ya 52. Wachezaji wa Simba na Yanga wakiwa katika mpambano.Mchezaji Simon Msuva akijaribu kufanya mashambulizi goli mwa Simba shuti lake halikuweza kuleta madhara yeyote mpaka dakika 90 Simba 1 na Yanga 0. Picha kwa hisani ya...

 

9 years ago

Vijimambo

YANGA NI ZAIDI YA MCHARO WAWALIZA SIMBA KWEUPEEE GOLI 2 BILA MAJIBU UTEJA KWA SIMBA KWISHINEIIIIIII!!

Yanga ni zaidi ya Mcharo Simba wametepweta baada ya kukubali goli moja kila kipindi alikuwa Tambwe aliandika bao la kwanza dk ya 44 ya kipindi cha kwanza, ikumbukwe kuwa Tambwe alikuwa kipenzi cha wana msimbazi hao na wakampotezea na kunyakuliwa na Yanga. Kipindi cha pili Busungu aliesajiliwa kutoka kwa wafunga buti wa mgambo aliiandikia Yanga bao la 2 dk ya 79. Yanga sasa imefuta uteja uliodumu zaidi ya miaka 5 kila wanavyo kutana na Simbanilikuwa ni kilio tu cha kusanga meno safari hii ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani