Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bonanza la Jogging Bandari Juni 22

BONANZA la Jogging linatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Bandari jijini Dar es Salaam, Juni 22. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa tamasha hilo, Rajabu Mteta,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Bonanza la Bandari kufanyika TCC Juni 22

BONANZA lililopewa jina la ‘Bandari Bonanza’, linatarajiwa kufanyika, Juni 22, katika ukumbi wa Harbors Club, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Mratibu wa Bonanza hilo, Rajab Mteta ‘KP’, Bonanza...

 

11 years ago

GPL

BONANZA LA JOGGING DAR LIVE LAFANA

Mhe. Angela Kizigha na Mhe. Faustine Ndugulile wakifanya mazoezi na klabu mwenyeji wa bonanza hilo, Magenge 20. Mgeni Rasmi ambaye ni Mbunge katika Bunge la Afrika Mashariki, Mh Angella Kizigha akiongea na wanajogging wa bonanza hilo.…

 

11 years ago

GPL

BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS LAANZA

LILE Bonanza kubwa la Jogging na Global Breaking News 15778 tayari limeanza na vikundi mbalimbali vya jogging jijini Dar vinaelekea Uwanja wa Taifa ili kuanza mbio za jogging zitakazoishia Dar Live, Mbagala!

 

11 years ago

GPL

BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS FULL BURUDANI

'Nyomi' ya watu waliofurika kwenye Ukumbi wa burudani wa Dar Live wakati wa Bonanza la Jogging & Global Breaking News. Wachezaji wa netiboli wa timu ya Ndiyo Sisi (wenye jezi za kijani), wakiwania mpira mbele ya mchezaji wa Barack, katika Bonanza…

 

11 years ago

GPL

EXTRA BONGO KUPAMBA BONANZA LA JOGGING KESHO DAR LIVE

KWA wale wapenda michezo wote, kesho watakutana katika bonanza kubwa la Jogging litakalorindima ndani ya Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar kwa kushirikisha michezo mbalimbali pamoja na shoo  baab’kubwa kutoka kwa Ally Choki na Kundi la Wakali Dancers. Bonanza hilo limeandaliwa na kampuni ya Red Bull kwa kushirikiana na Benson and Dunhill Cigaratte na Sayona Pure Drinking Water ambapo lengo lake ni kuukaribisha mwaka...

 

11 years ago

GPL

BONANZA LA JOGGING J’PILI EXTRA BONGO KUFUNIKA MBAGALA

GOOD Newz kwa mashabiki wa michezo na wanaolipenda Bonanza la Jogging ni kwamba Jumapili hii litafanyika sambamba na Bendi inayoongoza Bongo, Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’. Mkurugenzi wa Extra Bongo Ally Chocky. Mapema wiki hii, wadhamini, Kampuni ya PSPF na Akiba Commercial Bank walijitokeza na kuahidi kuwa kila kitu kitakwenda safi hivyo ni furusa nzuri kwa wanamichezo kujitokeza kwa wingi. Kwenye bonanza hilo...

 

11 years ago

GPL

PSPF, ACB KUDHAMINI BONANZA LA JOGGING DAR LIVE JUMAPILI HII

Meneja Masoko wa Global Publishers, Innocent Mafuru (kushoto) akiwatambulisha wageni waliofika ofisi za Global Publishers kuelezea maandalizi ya Bonanza la Jogging litakalofanyika Dar Live Jumapili hii. Kutoka kushoto ni waratibu wa Bonanza la Dar Live, Rajab Mteta 'KP', Mshauri Barandu wakiwa na Mkuu wa Masoko wa Akiba Commercial Bank (ACB), Innocent Ishengoma.… ...

 

11 years ago

GPL

BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS LAFANA NDANI YA DAR LIVE

Washiriki, wakimalizia mbio zao kutokea Uwanja wa Taifa mpaka Ukumbi wa taifa wa Burudani wa Dar Live. Klabu mwenyeji, Kejo Community wakiwa jukwaani wakicheza kwa furaha katika Bonanza hilo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani