Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONANZA LA WANANCHI WA TARAFA YA ELERAI LAFANA KWENYE VIWANJA VYA SINON COMPLEX ARUSHA





Uzinduzi wa Bonanza la wananchi wa Tarafa ya Elerai kwenye viwanja vya Sinon Complex ukianza kwa vijana kutoka kata tano kugombea mbuzi huku Michezo ya Drafti na bao wakipata kuku zilizotolewa na Afisa Tarafa hiyo Daniel Cholobi ikiwa ni sehemu ya kuongeza ukaribu wa Serikali kwa wananchi picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha
Afisa Tarafa ya Elerai mwenye Fulana nyeusi akiwa kwenye uzinduzi huo kwenye viwanja vya Sinon Complex leo Jijini Arusha
Wachezaji wa timu za kata ya Elerai wakiwa teyari...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Bonanza la Masauni Cup lafana Viwanja vya Mnazi Mmoja, Kilimani na Mkunazini imeshinda 2—0

Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Mkunazini iliotowa kipigo kwa timu ya Kilimani mabao 2–0. mchezo uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja

Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Kilimani  iliyokubali kipigo cha mabao 2–0.wakati wa mchezo Bonaza unaoendelea katika viwanja vya malindi mnazi mmoja usiku.

Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja...

 

10 years ago

Michuzi

Bonaza la Masauni Cup Lafana Viwanja vya Mnazi Mmoja Unguja Usiku Huu

Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja vya Malindi Mnazi Mmoja, Unguja, usiku huuKikosi cha timu ya Mkunazini katika michuano ya Bonaza Kombe la Masauni ambocho kimetowa dozi kwa timu ya Kilimani wakati wa mchezo wao wa pili wa Bonaza hilo ikiwa na pointi 4, baada ya kupotoka sare mchezo wao wa fungua dimba na timu ya Miembeni.  Timu ya Miembeni inaongoza kundi hilo ikiwa na poiti 7Mchezaji wa timu ya Kilimani akimpita mchezaji wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Bonaza Masauni Cup Lafana Viwanja vya Malindi Mnazi Mmoja Miembeni Yatoka Kivua Mbele dhidi ya Rahaleo kwa Mabao 4---0

Mgeni rasmi wa mchezo wa Bonaza kati ya Rahaleo na Miembeni Khamis Mbeto akisalimiana na wachezaji wa timu ya Rahaleo kabla ya kuaza kwa mchezo wao na timu ya Miembeni, mchezo uliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja. timu ya Rahaleo imekubali kipigo cha mabao 4--0  Mgeni rasmi wa mchezo wa Bonaza Masauni Cup, kati ya Rahaleo na Miembeni Khamis Mbeto akisalimiana na wachezaji wa timu ya Miembeni kabla ya kuaza kwa mchezo wao na timu ya Rahaleo  mchezo uliofanyika katika viwanja vya mnazi...

 

10 years ago

GPL

BONANZA LA PSPF FIRST BATCH LAFANA

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Betty Mkwasa, (wapili kushoto), akimkabidhi kombe la ubingwa, nahodha wa timu ya chuo kikuu cha St. Johns cha mjini Dodoma, Msanja Martin, baada ya kuibuka washindi wa kwanza, kwenye bonanza la PSPF lililoandaliwa maalum kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mjini Dodoma na kufanyika uwanja wa Jamhuri mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu .… ...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ASHIRIKI BONANZA LA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUPIGA KURA


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Viongozi na waratibu wa Bonanza maalum la kuhamasisha wananchi kujiandikisha katika Daftari Maalum la kupiga kura mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Gonga, Karakata tayari kushiriki mchaka mchaka na vijana zaidi ya 500 kutoka vikundi mbali mbali vya wilaya ya Ilala na Temeke.

Vijana wakiwa wamekusanyika tayari kuanza kushiriki mazoezi ya jogging kwenye uwanja wa Gonga, Karakata ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM...

 

11 years ago

Michuzi

BONANZA LA MICHEZO LA PPF LAFANA SANA

Mkufunzi wa mazoezi ya viungo, Taifa Liwewa (Kushoto), akiwaongoza wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati wa mazoezi ya viungo, kwenye bonanza la michezo lililoandaliwa na Mfuko huo na kufanyika viwanja vya Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam Jumamosi Aprili 19, 2014. Mgeni rasmi kqwenye tamasha hilo lililoshirikisha michezo mbalimbali ikiwemo, kuvuta kamba na soka, alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William...

 

11 years ago

GPL

BONANZA LA JOGGING DAR LIVE LAFANA

Mhe. Angela Kizigha na Mhe. Faustine Ndugulile wakifanya mazoezi na klabu mwenyeji wa bonanza hilo, Magenge 20. Mgeni Rasmi ambaye ni Mbunge katika Bunge la Afrika Mashariki, Mh Angella Kizigha akiongea na wanajogging wa bonanza hilo.…

 

10 years ago

GPL

BONANZA LA KAHAMA FAMILY LAFANA JANA

Hivi ndivyo Kahama Family Bonanza lilivyoanza kwa mbio za jogging. Wajumbe wakiwa kwenye maandalizi.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Bonanza la Tigo Corporate Event lafana mjini Morogoro

PICHA NO.6

Kikundi cha burudani cha Da Hustler Dancers cha mkoani Morogoro kikifanya onyesho katika Bonanza la Tigo Corporate Event lililofanyika katika viwanja vya shule ya msingi Solomon Mahlangu Morogoro.

PICHA NO7

Mchezaji wa timu ya netball ya St. Joseph, Salome John akifunga doli katika mchezo wao dhidi ya timu ya tigo. Kwnye mchezo huo Tigo walilala kwa vikapu 5-0.

PICHA NO.4

Meneja wa Tigo mkoa wa Morogoro na Tanga, Abasi Abel akisalimiana na wachezaji wa timu ya Polisi Chipolopolo katika ufunguzi wa bonanza la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani