Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bondia Awadh afariki

Bondia Fadhil Awadh amefariki dunia jana asubuhi kwenye Hospitali ya Mwananyamala alipokuwa amelazwa baada ya kuanguka ghafla na kupoteza fahamu akiwa mazoezi kwenye gym ya Kwa Ndame, Manzese, Dar es Salaam Ijumaa iliyopita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BONDIA FADHILI AWADH AFARIKI

Bondia wa ngumi za kulipwa Fadhili awadh amefariki dunia katika hospital ya Mwananyamala jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa siku kadhaa.  Marehemu Fadhili Awadh alikuwa ni miongoni mwa mabondia waliochaguliwa kucheza  mpambano wa ubingwa tarehe 29 mwezi huu wa tatu dhidi ya mpinzani wake toka Tanga Alan Kamote, na  alikuwa katika maandalizi ya mpambano huo.  Sababu ya kifo chake kwa ripoti ya daktari wa Mwananyamala kwa kiongozi wa ngumi Ibrahim Kamwe ni kuwa fadhili alikuwa na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Bondia afariki baada ya 'knock out'

Mwana masumbwi mmoja wa Australia amefariki siku nne baada ya kupoteza fahamu alipopigwa 'knock out' katika pigano la kijimbo mjini Sidney.

 

11 years ago

GPL

BONDIA IRAKI HUDU AFARIKI

Bondia Iraki Hudu enzi za uhai wake. BONDIA mkongwe nchini, Iraki Hudu amefariki dunia leo asubuhi akiwa katika Hospitali ya Hindu Mandal illiyopo maeneo ya Posta, Dar alipokuwa akitibiwa. Msiba upo nyumbani kwake Buguruni. Marehemu Hudu anatarajiwa kuzikwa kesho (Jumamosi) Juni 14, 2014 saa saba mchana.

 

11 years ago

Michuzi

Tanzia: Bondia wa zamani iraq hudu afariki dunia leo, kuzikwa kesho kisutu Dar es salaam

BONDIA wa zamani wa ngumi za kulipwa nchini, Iraq Hudu 'Kimbuga' (49) amefariki dunia, baada ya kuugua kwa muda mfupi.   Akizungumza jijini Dar es Salaam leo,  Dada wa Marehemu Tiba Takadiri, alisema kuwa Hudu amefariki jana majira ya saa 11 ya alfajiri kwenye hospitali ya Hindu Mandal, alikokuwa amelazwa. Takadiri, alimesema kuwa mazishi ya Hudu yatafanyika leo kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.  Alisema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na tatizo la ini na figo kutofanya...

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA MOHAMED MATUMLA AMTANDIKA KWA POINT BONDIA WANG XIN HUA KUTOKA CHINA

Mwamuzi wa Mpambano wa Masumbwi uliowakutanisha mabondia Mohamed Matumla (Tanzania) na Wang Xin Hua (China) katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam usiku huu,akiwa amemnyanyua mkono Bondia Mohamed Matumla baada ya kumchapa kwa Point bondia mwenzake kutoka nchini China katika mpambano wa raundi 10 wa kuwania nafasi ya kucheza katika pambano la utangulizi kwenye mpambano mkali na unaosubiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa masumbwi Duniani kati ya mabondia Floyd Mayweather, Jr. na...

 

10 years ago

Mwananchi

Awadh afuta mikosi Simba

Simba imevunja mwiko wa kutopata ushindi katika siku yao maalumu, ‘Simba Day’ tangu mwaka 2009 baada ya jana kuichapa SC Villa ya Uganda bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

IPPmedia

TPA Director General, Awadh Massawe,


IPPmedia
TPA Director General, Awadh Massawe,
IPPmedia
The government has incurred almost 48 bn/- of losses, caused partly by 11,884 containers and 2019 vehicles which had been cleared illegally at the Dar es Salaam port and wharfage. Wharfage is a charge assessed by a shipping terminal or port when goods ...
More rot exposed at Dar portDaily News | The National Newspaper (press release) (blog)

all 2

 

10 years ago

Tanzania Daima

Awadh Juma: Sijui hatima yangu Simba

MCHEZAJI wa Simba, Awadh Juma amekiri kutofahamu hatima yake ndani ya klabu ya Simba kutokana na uvumi kuwa uongozi wake unataka kumpeleka kwa mkopo kwa timu ya Stand United ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani