BONDIA WA MOROGORO AOMBA PAMBANO LA NGUMI KWA MAPROMOTA

Na Mwandishi Wetu PIUS KAZAULABONDIA Pius Kazaula wa Morogoro KG 66 amejitokeza hadharani na kuwaomba wadau wa mchezo wa masumbwi pamoja na mapromota kumwandalia mpambano kwa ajili ya kupima kiwango chake kwa kuwa mapromota wengi wapo Dar es salaam wao wa mikoani wanasahaulika
akizungumza na mwandishi wa habari kwa njia ya simu amesema mabondia wa uzito wake wapo wengi ingawa kila siku wanapangiwa wao kwa wao mana unaweza kukuta bondia mmoja kacheza na mtu mmoja mara nne wakati mabondia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Bongo514 Feb
Yusuph Mlela aomba pambano la ngumi na Nay wa Mitego
Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela aamemshutumu rapa Nay Wa Mitego kwa kile anachodai kuwa msanii huyo anapotosha jamii juu ya maandamano waliofanya baadhi ya wasanii wa filamu nchini.
Baada ya wasanii hao kuandamana wakipinga uingizwaji wa filamu za nje ambazo hazilipi kodi, kwa madai ziwaaribia soko lao la filamu za ndani, rapa Nay wa Mitego alisikika akisema kuwa baadhi ya wasanii wa filamu ambao waliandamana ni mataahira kwani kitendo cha wao kutaka filamu za nje zizuiliwe, hakina...
10 years ago
Vijimambo
Bondia Mohamed Matumla Ashinda Pambano la Ngumi Dhidi ya Mchina Wang Xin Hua Jana

Bondia Mohamed Matumla amemchapa mpinzani wake raia wa China, Wang Xin Hua kwa pointi. Matumla ameshinda pambano hilo la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF la raundi 12 uzani wa Bantam lililopigwa katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam na sasa baada ya kushinda atapata nafasi ya kupanda ulingoni Jijini Las Vegas kwenye pamambano la Mayweather na Pacquiao na bondia atakae pangiwa katika mapamabo ya utangulizi siku hiyo ya May 2.
10 years ago
Michuzi
news alert: bondia floyd mayweather avuliwa mkanda kwa kushindwa kulipa ada ya pambano wake na Manny Pacquiao

Pacquiao mwezi Mei Mwaka huu.Uamuzi huo umekuja baada ya bondia huyo mwenye umri wa miaka 38 kushindwa kuilipa shirikisho la ndondi la WBO ada ya dola laki mbili kabla ya Julai 3, mwaka huu.Hata hivyo Mayweather mwenyewe alitegemewa kuutema mkanda huo, kufuatia ushindi wa pointi dhidi ya Pacquiao. Mmarekami mwenzie Timothy Bradley ndiye ataepewa mkanda...
10 years ago
Michuzi22 Dec
BONDIA TWAHA KASSIM WA MOROGORO AMTWANGA KWA KO MUSSA CHITEPETE WA SONGEA
10 years ago
Michuzi.jpg)
Francois Botha na rais wa chama cha ngumi cha dunia cha WBF, Howard Goldberg kuwasili nchini tayari kwa kusimamia pambano la masumbwi machi 27
.jpg)
Botha atawasili nchi kwa mara ya pili kwa mualiko maalumu wa Kampuni ya Hall Of Fame inayoandaa mapambano ya ngumi ndani na nje ya nchi. Nguli huyo wa masumbwi anatarajiwa kuwasili saa 12 jioni na ndege ya Shirika la ndege la Afrika Kusini sambamba na...
11 years ago
GPL
BONDIA WA KIKE MWAFRIKA ACHUKUA UBINGWA WA NGUMI ULAYA
9 years ago
Bongo506 Jan
Majibu ya bondia Manny Pacquiao kuhusu kustaafu ngumi

Mcheza ngumi raia wa Ufilipino ambaye amejizolea umaarufu duniani Manny Pacquiao amesema kwasasa anatarajia kustaafu mchezo huo April 2016 baada ya kumaliza pambano lake na bondia Timothy Bradley.
Bondia huyo tayari ameshinda mataji nane ya ubingwa wa dunia kwa sasa nia yake ni kuwania nafasi za juu za uongozi katika nchi yake ya Ufilipino anaamini ana nafasi kubwa ya kuiongoza nchi hiyo.
Pacquiao atapanda ulingoni kupambana na bondia huyo kutoka America kwa mara ya tatu April 9, 2016 hii...
11 years ago
Michuzi
BONDIA WA KIKE MWAFRIKA ACHUKUA UBINGWA WA NGUMI ULAYA
Bintou Schmill (30) aka The Voice...
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Bondia Manny Pacquiao anastaafu ngumi? haya ni majibu yake…
Staa wa ngumi duniani raia wa Ufilipino Manny Pacquiao amesema anatarajia kustaafu mchezo huo April 2016 baada ya kumaliza pambano lake na bondia Timothy Bradley. Bondia huyo ambaye tayari ameshinda mataji nane ya ubingwa wa dunia kwa sasa ana ndoto za kuwania nafasi za juu za uongozi katika nchi yake ya Ufilipino anaamini ana nafasi […]
The post Bondia Manny Pacquiao anastaafu ngumi? haya ni majibu yake… appeared first on TZA_MillardAyo.