Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bonga, gonga, chonga

Mmmh, usinione kimya wenzangu. Baada ya kuona wengine wametuachia nafasi, nilikimbia kwenye hospitali za humuhumu nikitafuta kurekebisha makengeza yangu. Kweli, nakwambia makengeza yanachosha maana unaona vitu na unajaribu kuwaambia wenye macho mazuri.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

HONGERA SANA MR. PRESIDENT JAKAYA MRISHO . KIKWETE - GONGA CEO

Hongera sana Mr. President ‘Jakaya M. KIKWETE’ 
“I am Moved”, sababu nikirudi nyuma kidogo katika historia ya nchi ya Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 90 wakati sanaa ya muziki wa kizazi kipya ilipoanza kuchipuka ikifuatiwa na vita kubwa dhidi ya kukemea kijana kuwa msanii waHIP HOP nchini na sanaa hii kupewa majina ya kutisha kama muziki wa “kufoka foka, kihuni”na sanaa hii haikukubalika kabisa katika jamii ya kitanzania.Binafsi naweza nikasema kipindi cha awamu ya 4 ya uongozi wa serikali ya...

 

11 years ago

Bongo Movies

"NDOTO TEJA" Filamu mpya to Gonga Entertainment. Inaongelea kuhusu madawa ya kulevya.

Swahili

"Ndoto Teja" ni mtiririko wa "Short Films" ambao unatengenezwa na Director Frank 'Gonga' Mgoyo ambao umeanza na "NDOTO TEJA - DRUGS" Filamu fupi hii inaonyesha ni jinsi gani vijana wanaharibikiwa kwa matumizi ya madawa ya kulevya ambayo huanzia kwenye unywaji POMBE, Uvutaji BANGI na mpaka kuingia kwenye utumiaji wa MADAWA YA KULEVYA. "NDOTO TEJA" ni neno ambalo lina maanisha kuwa, ukiweza kuingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya na hata ukiamua kuacha na kwenda REHAB, maisha...

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA BARABARA YA DODOMA (MAYAMAYA) HADI BABATI (BONGA) KM 188.15 UNAENDELEA VIZURI

Mafundi wakiendelea na kazi za ujenzi wa daraja kubwa la Kolo lenye urefu wa mita 60 katika barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya kipande cha barabara ya kutoka Mela kwenda Bonga chenye urefu wa km 88.8. Ujenzi wa daraja hilo unatarajiwa kukamilika mwezi Mei mwaka huu.Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Dodoma, Eng. Leonard Chimagu (watatu kutoka kushoto) akiwa na wahandisi wa barabara ya kutoka Mela-Bonga mara baada ya ukaguzi wa daraja la Kolo. Kazi za ujenzi zikiendelea kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MAYAMAYA — MELA-BONGA KM 188.15

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa barabara ya Mayamaya –Mela - Bonga Km 188.15. Wengine wanaoshuhudia tukio hilo ni Mwakilishi wa Serikali ya Japan kushoto, katikati ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) kwa upande wa Tanzania Dkt. Tonia Kandiero, Mama Salama Kikwete pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.

 

11 years ago

Michuzi

MKOA WA DODOMA WASHEREHEKEA KUANZA KWA UJENZI WA MRADI WA BARABARA YA DODOMA (MAYAMAYA) - BABATI (BONGA)

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (Katikati mwenye kilemba) na ujumbe alioambatana nao wakipatiwa maelezo ya mradi wa barabara kutoka Mayamaya Dodoma hadi Bonga Babati kutoka kwa wakandarasi wa Kampuni inayojenga barabara hiyo ya China Railway Seventh Group wakati alipotembelea kambi ya kampuni hiyo  iliyopo kijiji cha Kolo Wilayani Kondoa  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (wa pili kushoto) na ujumbe alioambatana nao wakikagua magari yanayotumika kwenye ujenzi wa barabara...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkoa wa Dodoma washerehekea kuanza kwa ujenzi wa mradi wa Barabara ya Dodoma (Mayamaya) — Babati (Bonga)

1

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchmbi (wa nne kutoka kushoto) akiwaongoza wadau waliofika kuadhimisha sherehe za kuanza kwa ujenzi wa mradi wa barabara ya kutoka Mayamaya Dodoma hadi Bonga Babati kwa kiwango cha lami kuomba Dua ili mradi huo ukamilike kwa wakati bila kukwamishwa na changamoto mbalimbali. Sherehe hizo zilifanyika mapema Julai Mosi, 2014 kijijini Kolo Wilayani Kondoa.

2

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (wa pili kushoto) na ujumbe alioambatana nao wakikagua magari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani