Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Furahia Bonga.


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bonga, gonga, chonga

Mmmh, usinione kimya wenzangu. Baada ya kuona wengine wametuachia nafasi, nilikimbia kwenye hospitali za humuhumu nikitafuta kurekebisha makengeza yangu. Kweli, nakwambia makengeza yanachosha maana unaona vitu na unajaribu kuwaambia wenye macho mazuri.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raha ya mechi bao,furahia ushindi.

Manchester Utd ilivuna magoli 4-2 mwishoni mwa wiki dhidi ya majirani zao Manchester City katika mchezo wa ligi kuu ya England.

 

10 years ago

StarTV

Wakulima Zanzibar furahia kilimo cha Alizeti.

Na Abdalla Pandu, Zanzibar.

 

 

Wakulima visiwani Zanzibar wameonesha furaha yao baada ya kufanikiwa katika kilimo kipya cha Alizeti ambacho kinaaminika kitakuwa mkombozi kwao na Taifa kwa ujumla kutokana na muda mrefu kutegemea zaidi zao la Karafuu na Nazi kama mazao makuu ya biashara.

 

Zao la Alizeti kwa Zanzibar limeonekana likinawiri kwa kiwango kikubwa hatua inayowajengea matumaini ya kuinua kipato cha wakulima hali ambayo itawawezesha kukabiliana na umasikini.

 

Licha ya faraja...

 

10 years ago

Mwananchi

Furahia unachokifanya, mambo mazuri yanaanza na wewe

Hatuwezi kuanza darasa letu bila kujuliana hali. Na nitakuwa siyo mwenye busara kama hatutasalimiana kwanza. Hivyo basi baada ya kusema hayo machache naomba niwasalimie. Natumaini wenzangu ni wazima.

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA BARABARA YA DODOMA (MAYAMAYA) HADI BABATI (BONGA) KM 188.15 UNAENDELEA VIZURI

Mafundi wakiendelea na kazi za ujenzi wa daraja kubwa la Kolo lenye urefu wa mita 60 katika barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya kipande cha barabara ya kutoka Mela kwenda Bonga chenye urefu wa km 88.8. Ujenzi wa daraja hilo unatarajiwa kukamilika mwezi Mei mwaka huu.Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Dodoma, Eng. Leonard Chimagu (watatu kutoka kushoto) akiwa na wahandisi wa barabara ya kutoka Mela-Bonga mara baada ya ukaguzi wa daraja la Kolo. Kazi za ujenzi zikiendelea kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MAYAMAYA — MELA-BONGA KM 188.15

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa barabara ya Mayamaya –Mela - Bonga Km 188.15. Wengine wanaoshuhudia tukio hilo ni Mwakilishi wa Serikali ya Japan kushoto, katikati ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) kwa upande wa Tanzania Dkt. Tonia Kandiero, Mama Salama Kikwete pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkoa wa Dodoma washerehekea kuanza kwa ujenzi wa mradi wa Barabara ya Dodoma (Mayamaya) — Babati (Bonga)

1

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchmbi (wa nne kutoka kushoto) akiwaongoza wadau waliofika kuadhimisha sherehe za kuanza kwa ujenzi wa mradi wa barabara ya kutoka Mayamaya Dodoma hadi Bonga Babati kwa kiwango cha lami kuomba Dua ili mradi huo ukamilike kwa wakati bila kukwamishwa na changamoto mbalimbali. Sherehe hizo zilifanyika mapema Julai Mosi, 2014 kijijini Kolo Wilayani Kondoa.

2

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (wa pili kushoto) na ujumbe alioambatana nao wakikagua magari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani