Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bonge la Party ya White Elephant Hatari

KAMPUNI ya White Elephant hivi karibuni iliandaa bonge la sherehe iliyojulikana kwa jina la GET TOGETHER PARTY WITH WHITE ELEPHANT, party hiyo ya kukata na shoka ilifanyika katika club moja maeneo ya Tabata Dampo na kuhudhuriwa na kundi la wasanii waliofanya kazi na Mussa Banzi.

Akiongea na FC mkurugenzi wa kampuni hiyo Mussa Banzi alisema kuwa kila siku anatamani kuwa na wasanii wake ambao wengi wao yeye ndio aliyewatoa na kuwa nyota katika tasnia ya filamu Swahilihood, na hivi sasa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Baada ya Zari All White Party, leo ni Instagram Party ndani ya Jembe Beach Mwanza Hosted by Wema Sepetu na Idirs Sultan

IMG-20150501-WA0003

Na Modewji blog team

Ikiwa siku moja tu kufanyika kwa party iliyokua ikisubiriwa kwa hamu Zari All White party kufanyika jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na  Zari  the Boss Lady, mchumba wa mwanamuziki nyota nchini, Diamond Platnumz ‘Chibu Dangote’, Kwa upande wake  mpenzi wa zamani staa huyo, Wema Sepetu Jumamosi ya leo Mei 2, wanafanya bonge la shoo  ijulikanayo kama ‘Instagram Party Mwanza, ndani ya jiji la Mwanza, katika kiota cha Jembe ni Jembe Club,  akiwa na Mshindi wa Big Brother...

 

10 years ago

Michuzi

MoFLAVA ALL WHITE PARTY

WADAU WA TANZANIA WAISHIO USA ILE TOUR YA "MoFLAVA ALL WHITE PARTY" FT. TANZANIAN BORN & #1 USA INT'L VERSATILE DJ  "DJ KAYCEE MoFLAVA"  SASA IMEWADIA. KAA TAYARI KWANI HIVI KARIBUNI THE PARTY WILL BE IN YOU CITY.  TAREHE ZA TOUR NI HIZI HAPA CHINI AND MORE WILL BE ADDED SOON! SO SAVE THE DATE FOR YOUR CITY OR CITY NEAR YOU. LETS ENJOY TOGETHER THIS SUMMER!MORE DATES & CITIES FOR MoFLAVA "ALL WHITE" USA TOUR:06/06/2015 CINCINNATI OHIO O6/20/2015 DALLAS TEXAS W/ 07/11/2015 HOUSTON...

 

10 years ago

Michuzi

WABONGO ALL WHITE PARTY IN HOUSTON TX

Wabongo in ‪#‎HOUSTON‬ This one is for you. ‪#‎AllWhitePartyUSATour‬ /‪#‎OldSkoolParty‬ #HOUSTON TX. Hosted by the One & Only Zey MisstangaOn JULY 18th 2015 (Possible EID EL FITR NIGHT). Check Details at "MoFLAVA ALL WHITE PARTY HOUSTON TX SAT JULY 18TH" @Pure 505 Main St. Downtown Houston. 
To buy V.I.P/SECTION/BOOTH or REGULAR Advance Tickets (In Reduced Price) go HERE http://houstonwhite.eventbrite.com/?s=40265011. You have Seen Other Cities Tour Turn Up! Now Lets See what Yall got Over...

 

10 years ago

Vijimambo

Maandalizi ya Zari All White Party

Je wewe umesha andaa kiwalo?? Hivi ndiyo mdau anavyo jiandaa na Zari All white Party

 

10 years ago

Vijimambo

EDDAH'S THE BLACK AND WHITE PARTY BALAA

Wadau mbali mbali wakazi wa DMV na vitongoji vyake wakiwa wamependeza kwenye Black and White Party iliyofanyika siku ya Jumamosi June 13, 2015 Burtonsville, Maryland nchini Marekani.Wadau waliojitokeza kwenye black and white party wakipozi kwa picha za kumbukumbu.Black and white party iliyofanyika Burtonsville, Maryland siku ya Jumamosi June 13, 2015.Kila mtu akiwa amependeza na kuupamba usiku wa black and white party iliyofanyika siku ya Jumamosi June 13, 2015.Kwa picha bofya soma zaidi

 

9 years ago

Vijimambo

WHITE PARTY EXRAVAGANZA NOVEMBER 7, 2015

In the city of basketball birth place and hall of fame Springfield, Mass, ladies of Springfield would like to invite you and your company to a all "White Party Extravaganza" event one of the kind. Free entrance. A lot of deliciuos organic African food and drinks and the finest DJs in the U.S.A. On Saturday Nov.7, 2015 from 6pm - 1am at Days Inn 450 Memorial Drive, Chicopee, Massachusetts. Don't forget to tell your friends, it all white party hollywood style. Dress to impress. An event you...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

TheCitizen

The Zari All White Party a celebrity affair

>After all the talk and sometimes what almost got close to sheer jealousy, the Zari ‘All White Party’ is here.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani