Bongo tambarare: Trafiki jamii kazini....
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBongo Tambarare: mkeka wa tegeta
Hapa ni njia panga ya Kawe na Bagamoyo Road jijini Dar es salaam.
Foleni kwishnei
Foleni kwishnei
11 years ago
Michuzi11 years ago
Michuzi30 Jul
Bongo tambarare: Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Morocco road
Hapa ni barabara ya Morocco (sasa Kawawa Road) mitaa ya Kimnondoni. Hivi sasa barabara hii iko katika ujenzi mpya kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka. Na hiyo ngoma unayosikia ni ya Kundi la Sisi Tambala
11 years ago
MichuziCD mpya "Bongo Tambarare" ya Ngoma Africa Band aka FFU ndani ya Ethopia !
Addis Ababa,Ethopia,
Kiongozi wa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU aka Anunnaki Alien Kamanda Ras Makunja amewasili nchini Ethopia kwa ziara ya siku tatu ya kikazi,kwa ajili ya kuiporomoti CD mpya "Bongo Tambarare" ,baada ya wadau wa muziki nchini humo kuomba CD hiyo iweze kupigwa katika vituo vya redio nchini humo.
Wadau wa Ethopia wamevutiwa sana na mdundo uliomo ndani ya CD ya "Bongo Tambarare" yenye nyimbo tatu ambayo inasikika...
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Polisi Jamii wapigwa ‘stop’ kufanya kazi ya trafiki
Kutokana na tatizo la kukosa ajira nchini, baadhi ya vijana wameamua kujiajiri kwa kufanya kazi ya kuendesha pikipiki kusafirisha abiria maarufu bodaboda, baada ya kununua na wengine wakipatiwa na watu binafsi kwa makubaliano maalumu.
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?
Kupitia kipindi cha KAZI NA NGOMA ya JEMBE FM Mwanza stori ya Traffic aliyetumbukia mtaroni akiendesha bajaji ya mizigo aliyoikamata kutoka kwa dereva wa bodaboda imesikika, nini kisa na mkasa kwa ufupi ni kwamba> Mara baada ya kumkamata mwendeshaji Hamisi Omary kwa kusa la kupakia mzigo mkubwa wa mbao alimwamuru kulipa faini ya shilingi elfu 30, naye Hamisi akamwomba msamaha kwa Traffic huyo kwamba ni fedha nyingi sana ambayo hawezi kuilipa kwa hata kipato anachokipata toka kwa tajiri...
11 years ago
MichuziDar tambarare
Hii ni sehemu ya jiji la Dar es salaam, hususan maeneo ya Mchafukoge na Kariakoo ambako kunaonekana Busatani ya Mnazi Mmoja Garden kuzitenganisha. Awali majengo ya upande wa kulia mwa bustani hiyo yalikuwa ya mbavu za mbwa.
9 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziMBUNGE WA JIMBO LA HAI ATEMBELEA ENEO LA TAMBARARE WILAYANI HAI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA
Mbunge wa Jimbo la Hai Mhe. Freeman Mbowe akiwa na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka walipotembelea katika ukanda wa Tambarare kujionea athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.Mbunge Mbowe akiwa na biongozi wengine wa wilaya ya Hai wakitazama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko.Baadhi ya wananchi wakisalimiana na Mbunge Mbowe katika eneo la mafuriko yaliyosomba reli.Viongozi wa Chama cha mapinduzi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kutoa pole...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania