Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Boniventura: Tuitumie mitandao ya kijamii kujiendeleza kielimu

hakielimu-sept26-2015NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MA F A N I K I O na matokeo mazuri ya elimu kwa wanafunzi yanatokana na juhudi za mwalimu na mzazi kwa kumjengea mtoto mazingira mazuri ya kujifunzia.

Kutokana na hali hiyo, zipo shule mbalimbali ambazo walimu pamoja na wazazi wameungana kwa pamoja kuhakikisha wanawasaidia watoto wao kwa lengo la kuwapatia elimu bora yenye manufaa katika jamii.

Shule ya Sekondari ya Victor iliyopo Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII SI DHAMBI, TUITUMIE VIZURI KWA MALENGO YALIYOKUSUDIWA.

Meneja mawasiliano wa mamamlaka ya mawasiliano Tanzania ( TCRA) Bwn. Innocent Mungy akisisitiza jambo
Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM. 23/09/2014. Mitandao ya kijamii ni mizuri katika kuhabarisha umma endapo inatumiwa kulingana na madhumuni iliyotengenezwa, kwani ina nguvu ya kusambaza habari kwa haraka na kwa wakati hapa duniani. Pamoja na umuhimu nwa mitandao hii ya kijamii, kuna baadhi ya watu ambao wao hujiona kuwa wameendelea katika ulimwengu wa kisayansi na teknolojia kiasi cha kuanza...

 

11 years ago

Mwananchi

Baada ya matokeo Fanya uamuzi sahihi kujiendeleza kielimu

Wapo wanaofuata mkumbo wa kusoma mchepuo (combination) fulani kwa sababu marafiki zao wengi wameuchagua mchepuo huo. Aidha, wapo wanaolazimisha kusoma masomo magumu yaliyo nje ya uwezo wao kiakili.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gumzo kwenye mitandao ya kijamii

Kwani mtindo wa nywele au ushungi wa mtu unasema chochote kuhusu tabia au mwenendo wa mtu huyo?

 

10 years ago

Habarileo

Mitandao ya kijamii wapewa somo

Innocent MungyWATUMIAJI wa mitandao ya kijamii nchini wametakiwa kujiandaa kutumia sheria mpya ya mawasiliano iliyopitishwa bungeni hivi karibuni.

 

9 years ago

Mwananchi

Mpinga ajivunia mitandao ya kijamii

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga amesema mitandao ya kijamii kama vile Whatsapp, Facebook na Instagram imesaidia kupunguza ajali.

 

11 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na watu wasio na maadili ya uandishi wa habari.

 

9 years ago

Mwananchi

Kampeni zatawala mitandao ya kijamii

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikipamba moto majukwaani, matumizi ya mitandao ya kijamii imeshika kasi kwa makundi na watu binafsi kuitumia kuwanadi wagombea wao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani