Baada ya matokeo Fanya uamuzi sahihi kujiendeleza kielimu
Wapo wanaofuata mkumbo wa kusoma mchepuo (combination) fulani kwa sababu marafiki zao wengi wameuchagua mchepuo huo. Aidha, wapo wanaolazimisha kusoma masomo magumu yaliyo nje ya uwezo wao kiakili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Boniventura: Tuitumie mitandao ya kijamii kujiendeleza kielimu
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MA F A N I K I O na matokeo mazuri ya elimu kwa wanafunzi yanatokana na juhudi za mwalimu na mzazi kwa kumjengea mtoto mazingira mazuri ya kujifunzia.
Kutokana na hali hiyo, zipo shule mbalimbali ambazo walimu pamoja na wazazi wameungana kwa pamoja kuhakikisha wanawasaidia watoto wao kwa lengo la kuwapatia elimu bora yenye manufaa katika jamii.
Shule ya Sekondari ya Victor iliyopo Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha...
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Kalenga fanyeni uamuzi sahihi
WANANCHI wa Kalenga wanaojua kusoma, someni hapa, fundisheni wenzenu, mkichagua ovyo, mkaongozwa ovyo, mtalalamika. Someni taratibu kwa kituo, mtumie vema haki yenu ya kidemokrasia. Nimeona niwakumbushe au kuwafahamisha wasiofahamu. Wakati...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Oct
Doc:Fanya mahesabu mwenyewe ya matokeo
Nimewatayarishia XLS (openoffice) kwa ajili ya kuhesabu kwa wale wanaokimbia mahesabu.Kwabahati mbaya nimegundua wagombea ni wengi wana kura za kuchanga hivyo nimewaondoa kufanya urahisi kidogo kwa wazalendo watakao jikita kufanya mahesabu: http://mzalendo.net/wp-content/uploads/2015/10/matokeo-2015.ods
The post Doc:Fanya mahesabu mwenyewe ya matokeo appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi16 May
Rais Kikwete amefanya uamuzi sahihi
9 years ago
Mwananchi14 Oct
Wakulima fanyeni uamuzi sahihi Uchaguzi Mkuu - RC
10 years ago
Bongo504 Feb
Fanya vitu kwa usahihi na sio vitu sahihi tu!
9 years ago
VijimamboKIWIA AKANUSHA KUZIMIA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA. ASEMA ANATARAJIA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KWANI BADO HAJASAINI MATOKEO.
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza na Mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Highness Kiwia, anatarajia kufungua kesia ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimboni humo kwa madai kwamba haukuwa wa huru na haki kutokana na kugubikwa na changamoto mbalimbali.
Kiwia ambae ameshindwa kutetea jimbo hilo baada kuchukuliwa na Angelina Mabula kutoka Chama cha Mapinduzi CCM,...
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Jaji Masipa atishiwa baada ya uamuzi