Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Masipa atishiwa baada ya uamuzi

Mashirika ya kisheria nchini Afrika Kusini,yameelezea wasiwasi kuhusu vitisho dhidi ya jaji aliyetoa uamuzi katika kesi dhidi ya Pistorius.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Jaji Thokozile Masipa ametoka mbali

Jaji Thokozile Masipa amekuwa akionekana kama mtu ambaye fikra zake ziko mbali, mtulivu na mtu anayetazama mambo kwa undani.

 

11 years ago

Mwananchi

Baada ya matokeo Fanya uamuzi sahihi kujiendeleza kielimu

Wapo wanaofuata mkumbo wa kusoma mchepuo (combination) fulani kwa sababu marafiki zao wengi wameuchagua mchepuo huo. Aidha, wapo wanaolazimisha kusoma masomo magumu yaliyo nje ya uwezo wao kiakili.

 

11 years ago

GPL

UAMUZI ULIOTANGAZWA NA WIZARA YA FEDHA KWA UKAWA BAADA YA KUSUSIA VIKAO VYA BUNGE LA KATIBA

Naibu wake Waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba. Wizara ya Fedha kupitia Naibu wake Waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba wametangaza uamuzi wa kufuta malipo ya Wabunge waliosusia vikao vya mchakato wa Katiba vinavyoendelea Dodoma.

Uamuzi huu umetangazwa ikiwa ni siku ya pili tangu Wajumbe wa Bunge la Katiba Kutoka UKAWA wasusie Shughuli za Bunge la Katiba kwa Madai wamechoka matusi na Kuburuzwa kwenye Bunge hilo.

Hii leo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Hatari: Tanesco waamua kuchukua uamuzi wa kufunga nyaya juu ya mti baada ya nguzo kuvunjika

unnamed

Nguzo hii ina zaidi ya Mwezi mmoja ikiwa ndani ya nyumba ya mtu na hatari zaidi kwa sababu imelalia katika miti mibichi.

unnamed (1)

Hivi ndivyo nguzo hiyo inavyo onekana kwa Jirani ikiwa imelalia miti.

unnamed (2)

Hizi  ni waya zilizopita chini kabisa katika Geti la mtu na ndani ya miti.

unnamed (3)

Nguzo ya umeme ya TANESCO ikiwa imekatika katika eneo la Jirani na Daraja la Mlalakuwa ambapo ipo mpaka sasa ikiwa ni zaidi ya mwezi ipo eneo hilo.

unnamed (4)

unnamed (5)

Hii ndio Njia Mbadala waliyo iona TANESCO kutumia kwa kufunga nyaya hizo...

 

10 years ago

BBC

Judge Masipa's long journey

The judge with Pistorius' fate in her hands started as tea girl

 

10 years ago

Michuzi

MTUMISHI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AAGWA BAADA YA KUTEULIWA KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU NA RAIS

 Mwenyekiti wa Kamati namba moja ya Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Ummy Ali Mwalimu akimkabidhi kadi ya hongera   mtumishi wa Bunge hilo, Mhe. Leila Mgonya katika shehere ya kumwuaga  baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania. Awali  Mhe. Mgonya alikuwa ni Msaidizi wa  Waziri Mkuu. Mwenyekiti wa Kamati namba moja ya Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Ummy Ali Mwalimu akimlisha keki mtumishi wa Bunge hilo, Mhe Leila...

 

9 years ago

GPL

WASTARA ATISHIWA KUUAWA!

Hamida Hassan Hatari! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadai kutishiwa maisha kwa kutumiwa  ujumbe wa WhatsApp na ustaadhi ambaye aliwahi kutangaza kutaka kumuoa, jambo lililosababisha staa huyo kuamua kumfungulia mashtaka. Staa wa sinema za Kibongo, Wastara. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Wastara alifunguka kuwa kutokana na vitisho anavyotumiwa na ustadhi, hivyo akitua Dar kutoka mikoani atakwenda...

 

11 years ago

GPL

ALLY TIMBULO ATISHIWA KUUAWA

HII ni kali lakini haikuwahi kuandikwa, staa wa Bongo Fleva, Ally Timbulo alinusurika kuuawa baada ya kubainika kuwa anatembea na mke wa mtu na mumewe kumsaka kwa udi na uvumba akiwa na bastola mkononi. Staa wa Bongo Fleva, Ally Timbulo Akitema cheche na Untold, Timbulo alisema, katika maisha yake hakuwahi kufikiria kutoka kimapenzi na mtu ambaye yupo kwenye ndoa, isipokuwa mwanadada huyo ambaye anafanya kazi serikalini (jina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani