Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatari: Tanesco waamua kuchukua uamuzi wa kufunga nyaya juu ya mti baada ya nguzo kuvunjika

unnamed

Nguzo hii ina zaidi ya Mwezi mmoja ikiwa ndani ya nyumba ya mtu na hatari zaidi kwa sababu imelalia katika miti mibichi.

unnamed (1)

Hivi ndivyo nguzo hiyo inavyo onekana kwa Jirani ikiwa imelalia miti.

unnamed (2)

Hizi  ni waya zilizopita chini kabisa katika Geti la mtu na ndani ya miti.

unnamed (3)

Nguzo ya umeme ya TANESCO ikiwa imekatika katika eneo la Jirani na Daraja la Mlalakuwa ambapo ipo mpaka sasa ikiwa ni zaidi ya mwezi ipo eneo hilo.

unnamed (4)

unnamed (5)

Hii ndio Njia Mbadala waliyo iona TANESCO kutumia kwa kufunga nyaya hizo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAHANDISI TANESCO WATEMBELEA KIWANDA CHA SAO HILL KWA MAFUNZO KWA VITENDO JUU UKAGUZI WA UBORA WA NGUZO

Wahandisi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) wanaonolewa katika kutambua nguzo bora za kusambazia umeme wameanza mafunzo ya vitendo ya ukaguzi na utambuzi wa nguzo bora na salama katika baadhi ya viwanda vya kuzalishia nguzo hizo mkoani Iringa. 
Ziara ya wahandisi hao wa TANESCO inalenga katika kuwawezesha katika kukabiliana na matumizi ya nguzo zisizo na ubora na ili kuongeza ufanisi na usalama katika zoezi la kusambaza umeme nchini.
Wahandisi hao wamepata fursa ya kutembela kiwanda cha Sao...

 

11 years ago

Mwananchi

Wezi ‘wailiza nyaya’ Tanesco

 Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema chanzo cha kukatika kwa huduma hiyo jijini hapa ni kutokana na kuibwa kwa nyaya katika Kituo cha Ubungo na kusababisha kuungua kwa mitambo ya kusambaza nishati hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyaya za Sh230 mil zaibwa Tanesco

Watu wasiojulikana wameiba nyaya za umeme katika kituo cha kupokea na kupooza umeme cha Kipawa na kusababisha hasara ya zaidi ya Sh230 milioni.

 

5 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA AFRICAB KUFUNGA MITAMBO MIPYA KUONGEZA KASI YA UZALISHAJI WA NYAYA


Baadhi ya wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati wakipewa maelezeo ya uzalishaji kiwandani.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati Dustan Kitandula akipewa maelezo na Mkurugenzi mwenza wa AFRICAB   Yusuf Ezzi. kuhusu uzalishaji unaofanywa na kiwanda hicho

Mkurugenzi mwenza wa AFRICAB Yusuf Ezzi. akitoa maelezo kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati wakipewa maelezeo ya uzalishaji unaofanywa na kiwanda hicho

Mtendaji Msaidizi wa AFRICAB Gina Kunjal akifafanua ...

 

11 years ago

Mwananchi

9 years ago

Mwananchi

Serikali yaikemea Tanesco nguzo za nje

Shirika la Umeme nchini (Tanesco) limetakiwa kuacha kasumba ya kutumia mabilioni ya fedha kununua nguzo za umeme nje ya nchi, badala yake linunue ndani ya nchi kwa kampuni za kizalendo ambazo zinazalisha nguzo imara.

 

9 years ago

Mwananchi

Kampuni tatu za Tanzania kuiuzia nguzo Tanesco

Kampuni tatu za Tanzania na moja ya Afrika Kusini zimeshinda zabuni ya kusambaza nguzo za umeme iliyotangazwa na Shirika la Umeme nchini (Tanesco).

 

11 years ago

Michuzi

WAHANDISI TANESCO WAFUNDWA UKAGUZI WA UBORA WA NGUZO

Wahandisi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) wameanza kunolewa katika kutambua nguzo bora za kusambazia umeme majumbani katika kukabiliana na matumizi ya nguzo zisizo na ubora na ili kuongeza ufanisi na usalama katika zoezi la kusambaza umeme nchini.
Mafunzo hayo ya wiki mbili yanayofanyika mkoani Iringa kujumuisha wahandisi wakuu wa umeme, maafisa mipango na maafisa usalama wa TANESCO yana lengo la kuwawezesha wataalamu hawa kuwa na weledi wa hali ya juu katika kutambua nguzo zenye sifa na...

 

11 years ago

GPL

KAMERA YA GLOBAL KWA PRODYUZA MONA GANGSTAR NA KALA JEREMIAH , TANESCO NA NYAYA ZILIZOSHUKA

Mtayarishaji  wa muziki wa kizazi kipya ambaye ni mmiliki wa Studio Classic Sound, Monami Rangi “Mona Gangstar” akiwa katika hatua za mwisho kukamilisha wimbo mpya wa mkali wa Hip Pop nchini, Kala Jeremiah, ambao haujabatizwa jina.
Mona Gangstar, aki-‘mix’  wimbo wa Kala Jeremiah katika Studio za Classic Sound, zilizopo maeneo ya Kinondoni -Manyanya.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani