Nyaya za Sh230 mil zaibwa Tanesco
Watu wasiojulikana wameiba nyaya za umeme katika kituo cha kupokea na kupooza umeme cha Kipawa na kusababisha hasara ya zaidi ya Sh230 milioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Wezi ‘wailiza nyaya’ Tanesco
11 years ago
GPLKAMERA YA GLOBAL KWA PRODYUZA MONA GANGSTAR NA KALA JEREMIAH , TANESCO NA NYAYA ZILIZOSHUKA
11 years ago
Dewji Blog30 Apr
Hatari: Tanesco waamua kuchukua uamuzi wa kufunga nyaya juu ya mti baada ya nguzo kuvunjika
Nguzo hii ina zaidi ya Mwezi mmoja ikiwa ndani ya nyumba ya mtu na hatari zaidi kwa sababu imelalia katika miti mibichi.
Hivi ndivyo nguzo hiyo inavyo onekana kwa Jirani ikiwa imelalia miti.
Hizi ni waya zilizopita chini kabisa katika Geti la mtu na ndani ya miti.
Nguzo ya umeme ya TANESCO ikiwa imekatika katika eneo la Jirani na Daraja la Mlalakuwa ambapo ipo mpaka sasa ikiwa ni zaidi ya mwezi ipo eneo hilo.
Hii ndio Njia Mbadala waliyo iona TANESCO kutumia kwa kufunga nyaya hizo...
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Tanesco yapata hasara mil. 10.6/-
OFISI ya Shirika la Umeme (Tanesco) Mkoa wa Kinondoni Kusini, imepata hasara ya sh milioni 10.6 baada ya transfoma yake iliyopo maeneo ya Ubungo Maziwa kugongwa na gari na kuharibiwa...
9 years ago
Habarileo21 Dec
Tanesco yakamata 235 kwa hasara ya mil 200/
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Arusha limekamata watu 235 wanaodaiwa kuwa ni wezi waliokuwa wakihujumu baadhi ya miundombinu ya shirika hilo na kulisababishia hasara ya zaidi ya Sh milioni 200.
10 years ago
StarTV14 Apr
Wakazi kijiji cha Baga watapeliwa sh. mil. 2.5 na ‘Vishoka’ wa Tanesco.
Na Mbonea Herman,
Tanga.
Mtu mmoja aliyejiita kuwa mfanyakazi wa Shirika la Umeme nchini TANESCO amewatapeli wakazi wa kijiji cha Baga shilingi milioni 2.5 fedha alizokuwa akichangisha kwa ajili ya kuwaunganishia huduma ya umeme kijijini hapo.
Kutokana na hali hiyo TANESCO Mkoa wa Tanga limewatahadharisha wananchi kuwa makini na watu wanaojiita kuwa ni vishoka wa shirika hilo ambao dhamira yao kuu ni kuwatapeli wananchi.
Ilikuwa ni kazi kuzingoa nguzo zilizokuwa zimejengwa na watu...
11 years ago
Habarileo18 Jul
Tanzanite za bil 10/- zaibwa
WATU wanaosadikiwa ni majambazi wamepora madini ya tanzanite ya Kampuni ya TanzaniteOne ya Mirerani, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara yenye uzito wa kilo 40 na thamani ya zaidi ya Sh bilioni 10.
10 years ago
Vijimambo24 Nov
Nyaraka za Escrow zaibwa bungeni
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/David-Misime--November22-2014.jpg)
Ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ya uchotwaji wa Sh. bilioni 306 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zimeibwa na kuzua mambo.
Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limewatia mbaroni vijana wawili wanaotuhumiwa kusambaza mitaani ripoti ‘feki’ ya ukaguzi wa hesabu za fedha hizo uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...