Nyaraka za Escrow zaibwa bungeni
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime
Ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ya uchotwaji wa Sh. bilioni 306 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zimeibwa na kuzua mambo.
Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limewatia mbaroni vijana wawili wanaotuhumiwa kusambaza mitaani ripoti ‘feki’ ya ukaguzi wa hesabu za fedha hizo uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Nyaraka za Escrow zaibwa, zazua jambo Dodoma
10 years ago
Vijimambo25 Nov
Muhongo ahusishwa wizi nyaraka za Escrow bungeni
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Muhongo-November25-2014.jpg)
Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, ametajwa kuwa na uhusiano wa karibu na mmoja kati ya vijana wawili wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kuiba kutoka Ofisi ya Katibu wa Bunge ripoti ya ukaguzi wa hesabu za zaidi ya Sh. bilioni 300 zilizochotwa kifisadi kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Ukaguzi huo ulifanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
10 years ago
Mwananchi29 Mar
Nyaraka nyeti za Serikali ya Zanzibar zaibwa
10 years ago
Habarileo17 Sep
Ofisi ya ACT yavunjwa, nyaraka zaibwa
OFISI ya Chama cha Mabadiliko na Uwazi (ACT) imevunjwa na kuibwa nyaraka mbalimbali muhimu, ikiwemo fedha taslimu Sh 280,000 usiku wa kuamkia jana. Taarifa ya tukio hilo, ilielezwa kwa waandishi wa habari na Katibu wa ACT Mkoa wa Arusha, Matokeo Simba.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmFIhqID0FpBclB7TfcFiRZ2-SgCvrpy-YGRxyfai9FDRTsXlW9F0Hk79q1j2Co33QKi*PPkmLAEKlDl2gz5S1OlpjCGMqKv/zitto.jpg?width=650)
RIPOTI YA ESCROW YAWASILISHWA BUNGENI
10 years ago
GPLRIPOTI YA ESCROW BUNGENI YATEKA WANANCHI
10 years ago
Habarileo05 Nov
Akaunti ya Escrow bado kitendawili bungeni
JARIBIO la wabunge la kuishinikiza Serikali kuwasilisha bungeni ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu madai ya kuchotwa kwa zaidi ya Sh bilioni 200 kutoka katika akaunti ya Escrow, limekwama.
10 years ago
Habarileo12 Nov
Mjadala wa Escrow wawa moto bungeni
RIPOTI ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu kuchotwa kunakodaiwa isivyo halali kwa fedha katika Akaunti ya Escrow, sasa haitajadiliwa bungeni.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LG4v1FKIM7m5iM9CW5UmoWZhPdUQHzjMJK44piQPTHbsn3TVX7-ejwfgTaT-ZJ8k-QfbFxlMFMS3voyJgi9TY8S3EN3phk9X/escrow.jpg)
MJADALA WA SAKATA AKAUNTI YA ESCROW BUNGENI LEO