Nyaraka nyeti za Serikali ya Zanzibar zaibwa
Nyaraka nyeti za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) zilizokuwa zimehifadhiwa katika Taasisi ya Nyaraka na Kumbukumbu za Taifa, zimeibwa na mmoja wa watuhumiwa ni ofisa mwandamizi wa Ubalozi mdogo wa Omani uliopo Zanzibar.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 Nov
Nyaraka za Escrow zaibwa bungeni
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/David-Misime--November22-2014.jpg)
Ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ya uchotwaji wa Sh. bilioni 306 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zimeibwa na kuzua mambo.
Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limewatia mbaroni vijana wawili wanaotuhumiwa kusambaza mitaani ripoti ‘feki’ ya ukaguzi wa hesabu za fedha hizo uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
10 years ago
Habarileo17 Sep
Ofisi ya ACT yavunjwa, nyaraka zaibwa
OFISI ya Chama cha Mabadiliko na Uwazi (ACT) imevunjwa na kuibwa nyaraka mbalimbali muhimu, ikiwemo fedha taslimu Sh 280,000 usiku wa kuamkia jana. Taarifa ya tukio hilo, ilielezwa kwa waandishi wa habari na Katibu wa ACT Mkoa wa Arusha, Matokeo Simba.
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Nyaraka za Escrow zaibwa, zazua jambo Dodoma
11 years ago
Habarileo30 Jan
Kamati Teule kuchunguza wizi wa nyaraka nyeti
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho amekubali kuunda Kamati Teule kuchunguza wizi wa nyaraka nyeti katika jengo la Ofisi Kuu Kilimani. Inaundwa baada ya Serikali kukiri kuibwa kwa nyaraka hizo.
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Serikali ya Mapinduzi ZNZ yakanusha wawakilishi kuihusisha serikali ya oman na upotevu wa nyaraka za serikali
Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed.
Na MAELEZO ZANZIBAR
SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR IMEKANUSHA TAARIFA ZILIZOTOLEWA NA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI KWAMBA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WALIIHUSISHA SERIKALI YA OMAN NA UPOTEVU WA NYARAKA ZA SERIKALI.
HAYO YAMEELEZWA NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR MOHAMED ABOUD MOHAMED KATIKA TAARIFA YAKE ALIYOITOWA KWA VYOMBO VYA HABARI.
TAARIFA HIYO IMESEMA HAKUNA HATA MJUMBE...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--ojR6ajTTOo/VWLpkSPcT-I/AAAAAAAHZlo/EOiCTyH5ypM/s72-c/images.jpg)
SERIKALI YA TANZANIA NA UNESCO KUADHIMISHA WIKI YA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA NA KUZINDUA MRADI WA NYARAKA ZA URITHI WA TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/--ojR6ajTTOo/VWLpkSPcT-I/AAAAAAAHZlo/EOiCTyH5ypM/s640/images.jpg)
11 years ago
Habarileo18 Jul
Tanzanite za bil 10/- zaibwa
WATU wanaosadikiwa ni majambazi wamepora madini ya tanzanite ya Kampuni ya TanzaniteOne ya Mirerani, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara yenye uzito wa kilo 40 na thamani ya zaidi ya Sh bilioni 10.
10 years ago
Mwananchi17 Jan
Nyaya za Sh230 mil zaibwa Tanesco
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-HDqi6jKuNFc/VXqsw21DzhI/AAAAAAAC6Z4/JFK1sTUgsb4/s72-c/898.jpg)
SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YAWAONYA WATENDAJI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE
Onyo hilo limetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Idara ya upigaji chapa na Mpiga chapa Mkuu wa Serikali baada ya kuangalia utendaji kazi wa fanyakazi hao katika sehemu mbali mbali za Kiwandi hicho hapo...