Tanzanite za bil 10/- zaibwa
WATU wanaosadikiwa ni majambazi wamepora madini ya tanzanite ya Kampuni ya TanzaniteOne ya Mirerani, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara yenye uzito wa kilo 40 na thamani ya zaidi ya Sh bilioni 10.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Tanzanite ya bil 2/- yakamatwa KIA
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
WIZARA ya Nishati na Madini imekamata vipande 264 vya madini aina ya Tanzanite yenye thamani ya Sh bilioni 2.5 katika Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA).
Kukamatwa kwa madini hayo kulielezwa jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalamani, katika mahojiano yake na MTANZANIA Jumamosi.
“Madini hayo yalikamatwa na Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) ambapo raia wa India, Jain Anarugi, alitaka kuyasafirisha nje ya nchi hivi karibuni lakini sasa...
11 years ago
Habarileo22 Jul
Polisi wabaini ilipo tanzanite ya bil.10/- iliyoibwa
MADINI ya tanzanite kilo 15 yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 10 ya kampuni ya Tanzanite One yaliyoibwa hivi karibuni wilayani Simanjiro katika Mkoa wa Manyara, yanadaiwa kufichwa eneo la Sakina na baadhi ya wauzaji wakubwa wa madini hayo.
9 years ago
Vijimambo28 Sep
Tanzanite: The hidden treasure of Tanzania We arrive at Tanzanite One on a cool September morning.
The global tanzanite market is only worth $50m
The drive from the nearest town, Arusha, was not too long, but the last stretch on a gravel road littered with ditches made the hairs on the back of my neck stand up.
Once we got to the mine, we were given an induction and a quick briefing on the safety rules. After that we were off to the actual shaft, where we were allocated overalls, helmets and yellow plastic boots.
When I saw the contraption that would carry us 460 metres (yards) below ground,...
10 years ago
Vijimambo24 Nov
Nyaraka za Escrow zaibwa bungeni
Ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ya uchotwaji wa Sh. bilioni 306 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zimeibwa na kuzua mambo.
Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limewatia mbaroni vijana wawili wanaotuhumiwa kusambaza mitaani ripoti ‘feki’ ya ukaguzi wa hesabu za fedha hizo uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
10 years ago
Habarileo17 Sep
Ofisi ya ACT yavunjwa, nyaraka zaibwa
OFISI ya Chama cha Mabadiliko na Uwazi (ACT) imevunjwa na kuibwa nyaraka mbalimbali muhimu, ikiwemo fedha taslimu Sh 280,000 usiku wa kuamkia jana. Taarifa ya tukio hilo, ilielezwa kwa waandishi wa habari na Katibu wa ACT Mkoa wa Arusha, Matokeo Simba.
10 years ago
Mwananchi17 Jan
Nyaya za Sh230 mil zaibwa Tanesco
10 years ago
Mwananchi29 Mar
Nyaraka nyeti za Serikali ya Zanzibar zaibwa
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Nyaraka za Escrow zaibwa, zazua jambo Dodoma
5 years ago
CCM BlogWAZIRI BITEKO:SEKTA YA MADINI YAONGOZA KWA UKUAJI NCHINI. MAKUSANYO YAPAA KUTOKA BIL. 39 HADI BIL.58 APRILI
Nuru Mwasampeta na Tito Mselem,WM- Dodoma
WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji na mchango wa Sekta ya Madini kwenye pato la taifa unakua kwa kasi na kuwa mwaka 2019 mchango huo umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia 1.5 kwa mwaka 2018.
Amesema, kwa ukuaji huo sekta ya madini imeongoza sekta zote kwa ukuaji ikifuatiwa na sekta ya ujenzi ikiwa na ukuaji wa asilimia 14.1.
Ameongeza kuwa, wizara yake imekuwa ikikusanya kiasi cha wastani wa shilingi bilioni 39 kwa...