Nyaraka za Escrow zaibwa, zazua jambo Dodoma
Ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ya uchotwaji wa Sh306 bilioni kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zimeibwa na kuzua mambo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 Nov
Nyaraka za Escrow zaibwa bungeni

Ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ya uchotwaji wa Sh. bilioni 306 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zimeibwa na kuzua mambo.
Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limewatia mbaroni vijana wawili wanaotuhumiwa kusambaza mitaani ripoti ‘feki’ ya ukaguzi wa hesabu za fedha hizo uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
11 years ago
Habarileo17 Sep
Ofisi ya ACT yavunjwa, nyaraka zaibwa
OFISI ya Chama cha Mabadiliko na Uwazi (ACT) imevunjwa na kuibwa nyaraka mbalimbali muhimu, ikiwemo fedha taslimu Sh 280,000 usiku wa kuamkia jana. Taarifa ya tukio hilo, ilielezwa kwa waandishi wa habari na Katibu wa ACT Mkoa wa Arusha, Matokeo Simba.
10 years ago
Mwananchi29 Mar
Nyaraka nyeti za Serikali ya Zanzibar zaibwa
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Tiketi za elektroniki zazua jambo
10 years ago
Vijimambo25 Nov
Muhongo ahusishwa wizi nyaraka za Escrow bungeni

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, ametajwa kuwa na uhusiano wa karibu na mmoja kati ya vijana wawili wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kuiba kutoka Ofisi ya Katibu wa Bunge ripoti ya ukaguzi wa hesabu za zaidi ya Sh. bilioni 300 zilizochotwa kifisadi kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Ukaguzi huo ulifanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
10 years ago
VijimamboJAMBO CONCEPTS (T) LTD, WACHAPISHAJI WA GAZETI LA JAMBO LEO WAPATA MSIBA TENA
Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya Jambo Concepts (T) Ltd, inayochapisha magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti na Jarida la Jambo Brand, limempoteza mfanyakazi wake mwingine wa idara ya masoko, Kinai Mtinda (pichani), baada ya kufariki dunia saa 7 usiku wa kuamukia leo katika Hospitali ya Sinza Palestina jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Msiba na mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake Mbezi Beach na taratibu zingine kuhusiana na msiba huo zitatolewa baadae.
Marehemu...
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
Ni msiba tena Jambo Concepts (T) Ltd, wachapishaji wa Gazeti la Jambo Leo

Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya Jambo Concepts (T) Ltd, inayochapisha magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti na Jarida la Jambo Brand, limempoteza mfanyakazi wake mwingine wa idara ya masoko, Kinai Mtinda (pichani), baada ya kufariki dunia saa 7 usiku wa kuamukia leo katika Hospitali ya Sinza Palestina jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Msiba na mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake Mbezi Beach na taratibu zingine kuhusiana na msiba huo zitatolewa baadae.
Marehemu...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.
10 years ago
Habarileo15 Dec
Wanazuoni Dodoma waja juu suala la Escrow
UMOJA wa wanazuoni wa Vyuo Vikuu Dodoma umeunga mkono kauli ya jumuiya ya wanazuoni vijana wa Tanzania ya kuponda ripoti ya kamati ya kudumu ya hesabu za serikali (PAC) na wamemwomba Rais Jakaya Kikwete asitekeleze maazimio hayo.