Tanzanite ya bil 2/- yakamatwa KIA
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
WIZARA ya Nishati na Madini imekamata vipande 264 vya madini aina ya Tanzanite yenye thamani ya Sh bilioni 2.5 katika Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA).
Kukamatwa kwa madini hayo kulielezwa jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalamani, katika mahojiano yake na MTANZANIA Jumamosi.
“Madini hayo yalikamatwa na Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) ambapo raia wa India, Jain Anarugi, alitaka kuyasafirisha nje ya nchi hivi karibuni lakini sasa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Thamani ya Tanzanite iliyokamatwa KIA yafikia Dola za Marekani mil 1.2
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Omar Chambo (wa kwanza kulia) akiangalia moja ya mashine zinazotumika katika shughuli za uchimbaji madini katika eneo la Mirelani mkoani Manyara wakati alipotembelea eneo hilo mara baada ya kumaliza kikao kikao chake na Kamati za Ulinzi na Usalama za mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara ambazo zimeamua kufanya kazi kwa pamoja ili kudhibiti utoroshaji wa madini ya Tanzanite.
Chambo akitembelea baadhi ya vitalu vya uchimbaji madini ya...
9 years ago
StarTV23 Dec
Utoroshaji Nyara Za Serikali, Tanzanite  Maafisa sita KIA, askari matatani Â
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla ameagiza kusimamishwa kazi maafisa sita wa idara ya usalama katika uwanja wa ndege wa Kimataifa KIA pamoja na askari mmoja wa kituo kidogo cha polisi cha KIA sanjenti Edward Myaga baada ya kuhusishwa na tuhuma za kushirikiana na watoroshaji wa nyara za Serikali na madini aina ya Tanzanite yenye thamani zaidi ya shilingi bilioni 2.
Maafisa waliosimamishwa kazi ni pamoja na Kefa Langia, Tumaini Mkojera, Recho Shayo na Debora Komba.
Wengine ni Frank...
9 years ago
MichuziTanzanite iliyokamatwa KIA yafikia Dola za Marekani milioni 1,207,990
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Uboreshaji Uwanja KIA kugharimu bil. 78/-
UJENZI wa uboreshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) unatarajia kugharimu euro milioni 35 (sh bilioni 78). Hayo yalibainika jijini Dar es Salaam juzi katika hafla ya...
11 years ago
Habarileo18 Jul
Tanzanite za bil 10/- zaibwa
WATU wanaosadikiwa ni majambazi wamepora madini ya tanzanite ya Kampuni ya TanzaniteOne ya Mirerani, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara yenye uzito wa kilo 40 na thamani ya zaidi ya Sh bilioni 10.
11 years ago
Habarileo22 Jul
Polisi wabaini ilipo tanzanite ya bil.10/- iliyoibwa
MADINI ya tanzanite kilo 15 yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 10 ya kampuni ya Tanzanite One yaliyoibwa hivi karibuni wilayani Simanjiro katika Mkoa wa Manyara, yanadaiwa kufichwa eneo la Sakina na baadhi ya wauzaji wakubwa wa madini hayo.
9 years ago
Vijimambo28 Sep
Tanzanite: The hidden treasure of Tanzania We arrive at Tanzanite One on a cool September morning.
![](http://in2eastafrica.net/wp-content/uploads/2015/09/tanzanite.jpg)
The global tanzanite market is only worth $50m
The drive from the nearest town, Arusha, was not too long, but the last stretch on a gravel road littered with ditches made the hairs on the back of my neck stand up.
Once we got to the mine, we were given an induction and a quick briefing on the safety rules. After that we were off to the actual shaft, where we were allocated overalls, helmets and yellow plastic boots.
When I saw the contraption that would carry us 460 metres (yards) below ground,...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI BITEKO:SEKTA YA MADINI YAONGOZA KWA UKUAJI NCHINI. MAKUSANYO YAPAA KUTOKA BIL. 39 HADI BIL.58 APRILI
Nuru Mwasampeta na Tito Mselem,WM- Dodoma
WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji na mchango wa Sekta ya Madini kwenye pato la taifa unakua kwa kasi na kuwa mwaka 2019 mchango huo umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia 1.5 kwa mwaka 2018.
Amesema, kwa ukuaji huo sekta ya madini imeongoza sekta zote kwa ukuaji ikifuatiwa na sekta ya ujenzi ikiwa na ukuaji wa asilimia 14.1.
Ameongeza kuwa, wizara yake imekuwa ikikusanya kiasi cha wastani wa shilingi bilioni 39 kwa...
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Karafuu ya magendo yakamatwa