Kamati Teule kuchunguza wizi wa nyaraka nyeti
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho amekubali kuunda Kamati Teule kuchunguza wizi wa nyaraka nyeti katika jengo la Ofisi Kuu Kilimani. Inaundwa baada ya Serikali kukiri kuibwa kwa nyaraka hizo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Mar
Nyaraka nyeti za Serikali ya Zanzibar zaibwa
10 years ago
Mwananchi10 Dec
Kamati teule za bunge ziwe na wigo mpana
10 years ago
Vijimambo25 Nov
Muhongo ahusishwa wizi nyaraka za Escrow bungeni
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Muhongo-November25-2014.jpg)
Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, ametajwa kuwa na uhusiano wa karibu na mmoja kati ya vijana wawili wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kuiba kutoka Ofisi ya Katibu wa Bunge ripoti ya ukaguzi wa hesabu za zaidi ya Sh. bilioni 300 zilizochotwa kifisadi kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Ukaguzi huo ulifanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
11 years ago
Habarileo12 Jun
DCI, wenzake kuchunguza wizi wa mabilioni
MKURUGENZI wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini Issaya Mngulu na timu yake wamewasili mkoani hapa kwa ajili ya kufanya uchunguzi ili kubaini wizi katika vyama vya msingi vya ushirika ambapo zaidi ya Sh bilioni 12 hazijulikani zilipo mkoani Tabora.
9 years ago
Mtanzania04 Jan
DC aunda kamati kuchunguza mgomo
Na Safina Sarwatt, Moshi
MKUU wa Wilaya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga ameunda kamati tatu ya kuchunguza mgomo baridi wa madakatari na manesi unaendelea katika Hospitali ya Kibosho, wakipinga lugha chafu, ubabe unaofanywa na uongozi wa hospitali hiyo na kucheleweshewa mishahara.
Hatua hiyo ya mkuu huyo kuunda tume imekuja mara baada ya kufanya kikao na watumishi, kutokana na kuwapo kwa malalamiko ya wagonjwa kuhusu huduma mbovu.
Akitoa agizo la kuundwa kwa kamati tatu za...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zEPteeozpoo/U5ib1O3LSqI/AAAAAAAFp04/hUqnEU8WYmo/s72-c/download+(3).jpg)
DCI MNGULU KUONGOZA TIMU YA WAPELELEZI KUCHUNGUZA TUHUMA ZA WIZI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA MKOANI TABORA
![](http://1.bp.blogspot.com/-zEPteeozpoo/U5ib1O3LSqI/AAAAAAAFp04/hUqnEU8WYmo/s1600/download+(3).jpg)
IGP Mangu amemteua Kamishna wa Polisi Issaya Mngulu (pichani) ambaye ni Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai hapa nchini kuongoza timu. Timu hiyo ya upelelezi kutoka makao makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam tayari...
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Kamati ya Bendera yaanza kuchunguza mauaji Moro
11 years ago
Mtanzania27 Jul
Kamati yaundwa kuchunguza viungo vya binadamu
![mabaki ya miili ya watu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/mtanzania-220714.jpg)
Wananchi wakiangalia mifuko yenye viungo mbalimbali vya binadamu vilivyokutwa katika Bonde la Mweni Mpiji wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam jana. Picha ndogo kushoto ni polisi wakipakia viungo hivyo. Picha zote na Deus Mhagale
Adam Malinda na Grace Shitundu, Dar es Salaam
SERIKALI imeunda kamati ya watu 15 kuchunguza chanzo cha tukio lililofanywa na Chuo cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU) la kutupwa mabaki ya viungo vya miili ya binadamu katika bonde la Mto Mpiji, lililopo...
9 years ago
Mwananchi25 Nov
NYANZA: Kamati yaundwa kuchunguza tuhuma za daktari aliyegoma kutoa huduma