Kamati ya Bendera yaanza kuchunguza mauaji Moro
Mkuu wa Wilaya ya Ulanga, Francis Miti amesema kamati iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera kuchunguza chanzo cha vurugu zilizosababisha mauaji ya wakulima watatu wanaodaiwa kuuawa na polisi katika Kijiji cha Igawa, Kata ya Malinyi, Ulanga imeanza kufanya kazi na kwamba hali ya usalama na amani imerejea.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Apr
Bendera aunda tume kuchunguza migodi iliyoungua
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Bendera ya Palestina yaanza kupepea UN
10 years ago
Habarileo14 Jan
DC aunda Tume kuchunguza mauaji ya simba
MKUU wa wilaya ya Babati Khalid Mandia ameunda tume ya watu watatu wakisaidiwa na maofisa Wanyama Pori wa wilaya hiyo kuchunguza mauaji ya simba sita yaliyotokea katika kijiji cha Olasiti, kata ya Nkaiti Januari mosi mwaka huu.
9 years ago
Mtanzania04 Jan
DC aunda kamati kuchunguza mgomo
Na Safina Sarwatt, Moshi
MKUU wa Wilaya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga ameunda kamati tatu ya kuchunguza mgomo baridi wa madakatari na manesi unaendelea katika Hospitali ya Kibosho, wakipinga lugha chafu, ubabe unaofanywa na uongozi wa hospitali hiyo na kucheleweshewa mishahara.
Hatua hiyo ya mkuu huyo kuunda tume imekuja mara baada ya kufanya kikao na watumishi, kutokana na kuwapo kwa malalamiko ya wagonjwa kuhusu huduma mbovu.
Akitoa agizo la kuundwa kwa kamati tatu za...
11 years ago
Mtanzania27 Jul
Kamati yaundwa kuchunguza viungo vya binadamu
![mabaki ya miili ya watu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/mtanzania-220714.jpg)
Wananchi wakiangalia mifuko yenye viungo mbalimbali vya binadamu vilivyokutwa katika Bonde la Mweni Mpiji wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam jana. Picha ndogo kushoto ni polisi wakipakia viungo hivyo. Picha zote na Deus Mhagale
Adam Malinda na Grace Shitundu, Dar es Salaam
SERIKALI imeunda kamati ya watu 15 kuchunguza chanzo cha tukio lililofanywa na Chuo cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU) la kutupwa mabaki ya viungo vya miili ya binadamu katika bonde la Mto Mpiji, lililopo...
11 years ago
Habarileo30 Jan
Kamati Teule kuchunguza wizi wa nyaraka nyeti
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho amekubali kuunda Kamati Teule kuchunguza wizi wa nyaraka nyeti katika jengo la Ofisi Kuu Kilimani. Inaundwa baada ya Serikali kukiri kuibwa kwa nyaraka hizo.
10 years ago
Dewji Blog28 Jan
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yaanza kuchunguza tukio la kukamatwa kwa wananchi walioshiriki mkutano wa CUF
Tume imesikitishwa na matukio yaliyotokea tarehe 27/01/2015 huko Mbagala Wilaya ya Temeke Dar-es-Salaam, matukio ambayo yameoneshwa na Kituo cha Televisheni cha “Channel Ten” ambayo yameashiria uvunjifu wa haki za binadamu.
Mnamo majira ya saa kumi na robo hadi kumi na nusu jioni, Kituo cha TV cha “Channel Ten” kilirusha picha zilizoonesha kupigwa na Polisi baadhi ya wananchi waliokamatwa kwa kile kilichoelezwa kushiriki mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF) uliosemekana kuwa si halali.
Tume...
9 years ago
Mwananchi25 Nov
NYANZA: Kamati yaundwa kuchunguza tuhuma za daktari aliyegoma kutoa huduma
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU MAJALIWA APOKEA TAARIFA YA KAMATI ALIYOIUNDA YA KUCHUNGUZA ZAO LA KATANI
Nyumba nyingine zilizopendekezwa kurejeshwa Serikalini ni pamoja na nyumba kumi zilizoko ndani ya Jiji la Tanga katika maeneo ya Raskazone, Bombo, Nguvumali na Market street ambazo zilinunuliwa...