Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bendera ya Palestina yaanza kupepea UN

Bendera ya Palestina imepeperushwa kwa mara ya kwanza katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Bendera ya Palestina kupepea ofisi za UN

Baraza kuu la Umoja wa mataifa limepiga kura muswada kuipa fursa ya kipekee na kutoa baraka zake kuiruhusu bendera ya Palestina kupepea mbele ya majengo ya Umoja wa Mataifa .

 

9 years ago

Vijimambo

BENDERA YA PALESTINA KUPEPERUSHWA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA MATAIFA

Ubao wa Matangazo ndani ya Ukumbi Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ukionyesha matokeo ya kura katika tukio la kihistoria kufanyika ambapo Baraza hilo limepitisha azimio linalotoa fursa kwa Palestina kupeperusha bendera yake. Nchi wanachama walipiga makofi kushangilia kupitishwa kwa azimio hilo, ambalo Israel imesema Palestina inatafuta umaarufu kwa njia za mkato badala ya kurejea kwenye meza ya mazugumzo.Bendera ya Palestine itapepea nje ya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, hii...

 

9 years ago

Michuzi

PALESTINA KUPEPESHA BENDERA YAKE MAKAO MAKUU YA UMOJA WA MATAIFA


   Bendera ya  Palestine itapepea nje ya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa,   hii inafuatia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa  kupitisha azimio ambalo linatoa fursa kwa nchi ambazo si  mwanachama kamili wa Umoja huo  kupeperusha bendera yake Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.
Ubao wa Matangazo ndani ya Ukumbi Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa,  ukionyesha matokeo ya kura katika tukio la kihistoria  kufanyika ambapo Baraza hilo  limepitisha azimio linalotoa fursa kwa Palestina kupeperusha...

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati ya Bendera yaanza kuchunguza mauaji Moro

Mkuu wa Wilaya ya Ulanga, Francis Miti amesema kamati iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera kuchunguza chanzo cha vurugu zilizosababisha mauaji ya wakulima watatu wanaodaiwa kuuawa na polisi katika Kijiji cha Igawa, Kata ya Malinyi, Ulanga imeanza kufanya kazi na kwamba hali ya usalama na amani imerejea.

 

9 years ago

Dewji Blog

UN wakishirikiana na Ubalozi wa Palestina wafanya maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mshikamano na watu wa Palestina

 Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Abdallah Kilima (katikati), Kaimu Balozi wa Palestine Derar Ghannam (kulia) pamoja na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohammed Ali wakikata utepe kwa ajili ya maonesho ya picha za matukio mbalimbali yanayoendelea nchini Palestina hiyo  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na watu wa Palestina yaliyofanyika katika Chuo cha Diplomasia, Kurasini...

 

10 years ago

Michuzi

Mabalozi mbalimbali wakisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein

 Balozi wa Sudan nchini, Dr Yassir Mohamed Ali akijiandaa kusaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina Tanzania eneo la upanga Dar es Salaam leo, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein, aliyefariki Jumatano wiki hiiBalozi wa Iran nchini, Mehd Aghajafari akisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina Tanzania eneo la upanga Dar es Salaam leo, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tutajilinda na mashambulizi,Palestina

Palestina imeahidi kuulinda mji wa Gaza dhidi ya mashambulizi ya Israel.

 

11 years ago

BBCSwahili

Maandamano yazuka Palestina

Maandamano makubwa yamefanyika katika ukingo wa Magharibi mwa Palestina karibu na mpaka wake na Israel kupinga mashambulio.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani