Maandamano yazuka Palestina
Maandamano makubwa yamefanyika katika ukingo wa Magharibi mwa Palestina karibu na mpaka wake na Israel kupinga mashambulio.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili31 Aug
Maandamano yazuka nje ya bunge- Ukraine
10 years ago
BBCSwahili26 Apr
Maandamano yazuka dhidi ya rais Burundi
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Maandamano ya kupinga BVR yazuka Arusha
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Balozi wa Palestina kuongoza maandamano
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
UN wakishirikiana na Ubalozi wa Palestina wafanya maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mshikamano na watu wa Palestina
Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Abdallah Kilima (katikati), Kaimu Balozi wa Palestine Derar Ghannam (kulia) pamoja na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohammed Ali wakikata utepe kwa ajili ya maonesho ya picha za matukio mbalimbali yanayoendelea nchini Palestina hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na watu wa Palestina yaliyofanyika katika Chuo cha Diplomasia, Kurasini...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Mabalozi mbalimbali wakisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi
KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...
9 years ago
BBCSwahili13 Dec
Mapigano yazuka upya C.A.R
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Mapigano yazuka Msumbiji