Balozi wa Palestina kuongoza maandamano
Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Dk Nasri Abu Jaish atakuwa miongoni mwa watu watakaoandamana kesho kupinga mauaji ya Wapalestina katika eneo la ukanda wa Gaza yanayofanywa na Israel.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Jul
Maandamano yazuka Palestina
10 years ago
Habarileo26 Jan
Lipumba kuongoza maandamano ya CUF
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepanga kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 14 tangu mauaji ya Zanzibar, kesho.
10 years ago
Mtanzania13 Feb
Waziri wa Z’bar leo kuongoza maandamano ya CUF Dar
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza maandamano yanayofanyika leo jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Waziri wa Miundombinu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Juma Duni Haji.
Duni ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CUF, anatarajiwa kuwaongoza wafuasi wa chama hicho katika maandamao hayo licha ya Jeshi la Polisi kuyazuia.
Mbali ya Waziri Duni, maandamano hayo pia yataongozwa na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho.
Akizungumza na waandishi wa...
11 years ago
Michuzi23 Jul
HAWZAT IMAM SWADIQ KUONGOZA MAANDAMANO YA KULAANI MAUAJI YA HUKO GAZA
TAASISI ya Hawzat Imam Swadiq wameandaa maandamano ya kulaani mashambulizi yanayofanywa na Vikosi vya Israel dhidi ya wananchi wa Palestina wasio na hatia.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Taasisi hiyo Profesa Abdul Shariff, maandamano hayo yanalenga kuueleza ulimwengu kuwa wananchi wa Tanzania wanalaani mauaji yanayoendelea huko Gaza Palestina.
Amesema kuwa maandamano hayo ambayo yatafanyika siku ya Ijumaa Julai 25 mwaka huu yanatarajia kuanzia Kituo cha...
11 years ago
Mwananchi21 Jul
Balozi: Mgogoro wa Palestina na Israel si wa dini
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Balozi Palestina ataka Israel ikemewe
BALOZI wa Palestina nchini, Nasri Abu Jaish, ameiomba Tanzania na jumuiya ya kimataifa kuikemea Israel iache kufanya mauaji ya kinyama kwa Wapalestina. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari jijini...
11 years ago
Dewji Blog21 Jul
Balozi wa Palestina awaomba wanahabari Tanzania kupaza sauti

Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Nasri Abu Jaish akizungumza katika mkutano na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari.

Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Abdul Sheriff akiwasilisha mada katika mkutano huo.
Sheikh Jalala (katikati) akizungumza katika mkutano huo.

Meza kuu ikifuatilia majadiliano katika mkutano huo na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari.

Baadhi ya wahariri na wageni waalikwa wakiwa katika mkutano na ubalozi wa Palestina.

Baadhi ya wahariri...
11 years ago
GPL
BALOZI WA PALESTINA AWAOMBA WANAHABARI TANZANIA KUPAZA SAUTI
10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI TANZANIA, ANAYEMALIZA MUDA WAKE

