Balozi wa Palestina awaomba wanahabari Tanzania kupaza sauti
Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Nasri Abu Jaish akizungumza katika mkutano na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari.

Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Abdul Sheriff akiwasilisha mada katika mkutano huo.
Sheikh Jalala (katikati) akizungumza katika mkutano huo.

Meza kuu ikifuatilia majadiliano katika mkutano huo na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari.

Baadhi ya wahariri na wageni waalikwa wakiwa katika mkutano na ubalozi wa Palestina.

Baadhi ya wahariri...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
BALOZI WA PALESTINA AWAOMBA WANAHABARI TANZANIA KUPAZA SAUTI
9 years ago
Michuzi
JESHI LA POLISI KITENGO CHA USALAMA BARABARANI PAMOJA NA VODACOM TANZANIA WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA MADEREVA NA ABIRIA KUPAZA SAUTI

10 years ago
Mtanzania14 Aug
Wasanii wahimizwa kupaza sauti upigaji wa kura
NA ASIFIWE GEORGE
MSANII kutoka kundi la Weusi, Nickson Saimon (Niki wa Pili), mwanasiasa Chikulupi Kasaka, mjasiriamali Modesta Mahinga na Mbunge Steven Masele wameshiriki katika mdahalo wa vijana uliojadili mambo mbalimbali wanayotaka yafanyike katika uchaguzi mkuu wa Tanzania Oktoba, mwaka huu.
Mdahalo huo umeandaliwa na taasisi ya Tanzania Bora Initiative, ikiwa na lengo la kuweka msimamo kwa vijana katika uchaguzi utakaoweza kusaidia kushiriki kikamilifu katika hatua zote za uchaguzi na...
5 years ago
Michuzi
TUENDELEE KUPAZA SAUTI ZIMBABWE IONDOLEWE VIKWAZO-MAJALIWA
Amesema ili wasiache hata mmoja wao nyuma wanapoelekea kwenye utekelezaji wa Ajenda ya SADC ya baada ya mwaka 2020 yaani SADC Post 2020 Agenda, ni vyema wakaendelea kuisemea Zimbabwe katika majukwaa mbalimbali ya Kikanda na Kimataifa hadi vikwazo hivyo...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU MAJALIWA: NCHI ZA SADC TUENDELEE KUPAZA SAUTI KUONDOLEWA VIKWAZO ZIMBABWE
Akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC leo Jumatano (Machi 18, 2020) Jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu Majaliwa alisema Tanzania kupitia nafasi yake ya Uenyekiti wa SADC imeendelea kupaza sauti kwa...
10 years ago
StarTV08 May
Katibu Mkuu TFF awaomba radhi wanahabari.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, Mwesigwa Selestine ameomba radhi kwa vyombo kufuatia madai ya waandishi wa habari kupata usumbufu wakati wa utoaji wa zawadi kwa Mabingwa na washindi wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom.
Mwesigwa alisema kwa niaba ya TFF anaomba radhi kwa usumbufu wowote uliowapata waandishi na wadau wote walioshindwa kushuhudia vema tukio hilo.
“TFF na FIFA vinatambua umuhimu na nafasi ya wanahabri na vyombo vya habari si tu katika kuutangaza mchezo,...
10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI TANZANIA, ANAYEMALIZA MUDA WAKE


11 years ago
Mwananchi24 Jul
Balozi wa Palestina kuongoza maandamano
10 years ago
MichuziTMF yatoa mafunzo kwa wanahabari wa Sauti ya mnyonge