Waziri wa Z’bar leo kuongoza maandamano ya CUF Dar
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza maandamano yanayofanyika leo jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Waziri wa Miundombinu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Juma Duni Haji.
Duni ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CUF, anatarajiwa kuwaongoza wafuasi wa chama hicho katika maandamao hayo licha ya Jeshi la Polisi kuyazuia.
Mbali ya Waziri Duni, maandamano hayo pia yataongozwa na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho.
Akizungumza na waandishi wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo26 Jan
Lipumba kuongoza maandamano ya CUF
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepanga kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 14 tangu mauaji ya Zanzibar, kesho.
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Mabomu yarindima Dar:Ni wakati polisi wakizuia maandamano ya CUF
9 years ago
Mzalendo Zanzibar09 Sep
Cuf wazindua kampeni, leo 09/09/2015 Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar
BY- EMMANUEL MTENGWA, MWANANCHI DIGITAL Wafuasi na wapenzi wa CUF waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kampeni za chama hicho Kibandamaiti Zainzibar. Picha na Said Khamis Zanzibar. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), […]
The post Cuf wazindua kampeni, leo 09/09/2015 Maalim Seif aahidi mamlaka kamili ya Z’bar appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Balozi wa Palestina kuongoza maandamano
11 years ago
Michuzi23 Jul
HAWZAT IMAM SWADIQ KUONGOZA MAANDAMANO YA KULAANI MAUAJI YA HUKO GAZA
TAASISI ya Hawzat Imam Swadiq wameandaa maandamano ya kulaani mashambulizi yanayofanywa na Vikosi vya Israel dhidi ya wananchi wa Palestina wasio na hatia.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Taasisi hiyo Profesa Abdul Shariff, maandamano hayo yanalenga kuueleza ulimwengu kuwa wananchi wa Tanzania wanalaani mauaji yanayoendelea huko Gaza Palestina.
Amesema kuwa maandamano hayo ambayo yatafanyika siku ya Ijumaa Julai 25 mwaka huu yanatarajia kuanzia Kituo cha...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-z-egHoIE3WI/Xp595q655nI/AAAAAAALnpg/E5VBg3zmscEIdJFuGGF8q1YeIdhbyj7AQCLcBGAsYHQ/s72-c/afya.jpg)
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUONGOZA MAOMBI YA KITAIFA DHIDI YA JANGA LA CORONA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM
![](https://1.bp.blogspot.com/-z-egHoIE3WI/Xp595q655nI/AAAAAAALnpg/E5VBg3zmscEIdJFuGGF8q1YeIdhbyj7AQCLcBGAsYHQ/s1600/afya.jpg)
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Viongozi wa madhehebu ya Dini nchini, imeandaa maombi maalum Kitaifa kuiombea Nchi dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu inayotokana na Virusi vya Corona.Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara, Maombi hayo yatakayoongozwa na Viongozi Wakuu wa madhehebu ya Dini nchini, yatafanyika Jumatano tarehe 22 Aprili, 2020 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar Es Salaam, kuanzia Saa 3.00 Asubuhi ambapo Mgeni Rasmi atakuwa...
10 years ago
MichuziMAANDAMANO YA AMANI YA WADAU WA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI YAFANYIKA LEO JIJINI DAR
Hayo ameyasema leo Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabia Nchi Tanzania (CAN),Sixbaty Mwanga wakati wa matembezi ya amani ya Mabadiliko ya Tabia ya Nchi yaliyofanyika viwanja vya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Amesema mabadiliko ya tabia...
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Lipumba azima maandamano ya CUF
10 years ago
Mwananchi12 Feb
Maandamano ya vijana CUF yapigwa marufuku