PALESTINA KUPEPESHA BENDERA YAKE MAKAO MAKUU YA UMOJA WA MATAIFA
![](http://2.bp.blogspot.com/-18e6tsLh5Sc/VfJarzyawKI/AAAAAAAH38Y/ayppVvto9Gs/s72-c/shutterstock_159042647.jpg)
Bendera ya Palestine itapepea nje ya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, hii inafuatia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kupitisha azimio ambalo linatoa fursa kwa nchi ambazo si mwanachama kamili wa Umoja huo kupeperusha bendera yake Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.Ubao wa Matangazo ndani ya Ukumbi Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ukionyesha matokeo ya kura katika tukio la kihistoria kufanyika ambapo Baraza hilo limepitisha azimio linalotoa fursa kwa Palestina kupeperusha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboBENDERA YA PALESTINA KUPEPERUSHWA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA MATAIFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-pyFxYBjfZ1s/VfKNb5Wp-QI/AAAAAAAD66M/3hmgv-L7V5U/s640/shutterstock_159042647.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WjpyqOgTsEs/VLpttFvXPGI/AAAAAAAAIEE/Zgv7SvYM2ls/s72-c/shaka.jpg)
TAARIFA YA UMOJA WA VIJANA WA CCM ( UVCCM) MAKAO MAKUU DAR ES SAALAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-WjpyqOgTsEs/VLpttFvXPGI/AAAAAAAAIEE/Zgv7SvYM2ls/s1600/shaka.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GCcmDCu8TEg/Xu0MlevPUyI/AAAAAAALur4/A3sKjVQL2lIxCRavJxO0Ovw6TBsyPC61gCLcBGAsYHQ/s72-c/Picture%2B2%2B%25281%2529.png)
MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA UMOJA POSTA AFRIKA JIJINI ARUSHA.
Na:Vero Ignatus-Arusha.
Zaidi ya shilingi bilioni 38 zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kisasa lenye jumla ya ghorofa 17 ambalo linajengwa kwa ubia Kati ya Umoja wa Post Afrika (PAPU) na serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya mawasiliano Nchini (TCRA).
Ni miezi sita sasa tangu kuzinduliwa shughuki za ujenzi kwa kuwekewa jiwe la msingi na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na mawasiliano mnamo januari 18 mwaka 2020 zoezi lililo ongozwa Mhandisi Isack Kamwelwe alie ambatana na viongozi...
9 years ago
BBCSwahili11 Sep
Bendera ya Palestina kupepea ofisi za UN
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Bendera ya Palestina yaanza kupepea UN
9 years ago
Dewji Blog22 Sep
Tanzania yang’ara Kimataifa,Asasi yake yatwaa tuzo ya Ikweta 2015 zinazotolewa na Umoja wa Mataifa-UN
Bi. Helen Clark, Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa ( UNDP) akiwatangaza washindi wa Tuzo ya Ikweta ambayo hutolewa na Umoja Mataifa kwa NGO ambazo zinajihusisha na utunzaji wa mazingira, ulinzi na uhifadhi wa misitu, matumizi bora na endelevu ya ardhi na mali asili na kupiga vita umaskini.Tuzo ya mwaka huu wa 2015 ambayo ni dola za kimarekani 10, 000 kwa kila mshindi inakwenda kwa NGO 21 ambapo NGO ya Tanzania ijulikanayo kama Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu...
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WA UMOJA WA JAMHURI YA KOREA, UMOJA WA ULAYA NA PALESTINA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
Mtanzania12 Sep
Lowassa atikisa makao makuu ya CCM
![MTZ jmosi new.indd](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/mtz13-300x267.jpg)
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, jana alitikisa mji wa Dodoma ambao ni Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Tukio hilo lilitokea wakati wa mkutano wa kampeni za urais za mgombea huyo ambapo maelfu ya wananchi wa Dodoma walihudhuria mkutano huo uliofanyika katika Viwanja vya Barafu mjini hapa.
Kabla ya mkutano...